Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndiyo yale yaliyosemwa na Marehemu?

Sasa kama hujui chochote unatakiwa ukae kimya ama unabishana nini kijana au umeshiba mandazi kwa shemeji yako hapo😅 subiria marudio ya tamthilia uangalie 😎
 
Sasa kama hujui chochote unabishana nini kijana au umeshiba mandazi kwa shemeji yako hapo[emoji28]
Unaejua umeshindwa ku ongea hapa... Hii sio Facebook bwana mdogo kama mambo hujui uliza sio unaongea kama na ww mshirika wa kikwete
 
Unaejua umeshindwa ku ongea hapa... Hii sio Facebook bwana mdogo kama mambo hujui uliza sio unaongea kama na ww mshirika wa kikwete
Siwezi kuongea na mtu ambaye anabisha asichokijua 😅 tatizo la watoto wa .com huwa akili hamna! Usilete ushabiki wa akina diamond na harmonize kwenye mambo serious...
 
Hii inatakiwa itafsiriwe kwa kiswahili na iwe mojawapo ya topic kwenye somo la uraia.
Haya ma idiots na tribesmen yanaitwa mapunguani kwa kiswahili.
Ni lazima watu wajitambue kuwa wao ni wananchi au mapunguani?

Hata hivyo, kutumia andiko hili kumtuhumu Rais mstaafu JK siyo sawa, hii ni reflection ya jamii kwa ujumla wake.
Ukitafuta facts, yawezekana JK akawa nafuu kuliko wengine.
 
Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.

1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?

2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
Yalisemwa kwamba?
 
Siwezi kuongea na mtu ambaye anabisha asichokijua [emoji28] tatizo la watoto wa .com huwa akili hamna! Usilete ushabiki wa akina diamond na harmonize kwenye mambo serious...
Huna lolote ujue kuhusu Richmond ww kama Nani.... Umebaki kusema alikula hela, nchi nzima hii ww ndo unaejua alikula hela, usiongee jambo hujui wala huwez lijua wala halipo mahala popote kiushahidi.. Huo ndo utoto na ulimbukeni.
 
Twambie gesi inayozalishwa kwa sasa ni yetu au sisi tunaitumia kwa kununua kwa hao wenye nayo?

je kikwete alipoweka jiwe la msingi bandali ya bagamoyo mkataba ulikua bado au ulikua umefungwa tayali, au makubaliano ya awali yalikua yapo au hayakuwapo?

Je jambo hilo linawezekana kuzindua bila makubakiano?
 
Kwanini umeuliza maswali Tata hivo gesi ya mtwara imeuzwa what is the source of your question
Sioni nafasi ya Gesi kwenye maisha ya kawaida ndo maana nikauliza. Tangu ianze kutumika haijafanya vizuri.
 
Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.

1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?

2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
Sasa kwa kutumia uelewa wa kawaida bandari ya bagamoyo haiwezi kuwa ya kwetu moja kwa moja kwa kuwa kutakuwa na uwekezaji mkubwa uliowekwa na mwekezaji China.Baada ya kipindi cha muda fulani nadhani kipo kwenye mkataba tutakabidhiwa tuiendeshe wenyewe but kipindi ambacho mwekezaji anarudisha gharama zipo tozo na mrahaba tutakuwa tunakusanya plus ajira zitokanazo na bandari pamoja na viwanda ambavyo vitaambatana na bandari ile ya bagamiyo.Kwa kuwa itakuwa lango kuu la kupitishia mizigo kwa maana hata ukuaji wa biashara katika nchi yetu utakuwa mkubwa mno ukilinganisha na sasa.Maoni yangu mradi wa bagamoyo tunauhitaji zaidi kuliko sisi unavyotuhitaji mh Rais aidhinishe haraka utekelezaji wake.
 
Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.

1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?

2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
Marehemu muongo sana yule.
 
Itakua chini ya muwekezeaji kwa maiaka tuliyokubaliana...
 
Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.

1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?

2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
Nadhani JPM alipenda kupeleka pesa zote kanda ya ziwa na kuna miradi mingi tu ilikufa kwasababu tu ipo kanda fulani.
 
Kwa iyo Dr Slaa akizungumza wewe ndo ushahidi wako ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kweli aliyewaita nyie majamaa ni misukule na washamba hakukosea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo unaemsema anachuki binafsi ni Dr Slaa?
 
Mkuu, ili ueleweke, ungetaja machache tu ya "legacy" yake JK nchini ili wenye chuki dhidi yake wanyamaze
 
Nadhani JPM alipenda kupeleka pesa zote kanda ya ziwa na kuna miradi mingi tu ilikufa kwasababu tu ipo kanda fulani.
Sasa si uanzishe uzi ndugu?

Mi hapa nataka majibu ya hayo mambo mawili.
 
Hebu punguza kiherehere, umejigeuza msemaji wa kila kiongozi humu ndani.

Hao whistleblowers wa Wikileaks au Panama ni majini wajue kila kitu?
Mbona tunao whistleblowers wetu, hao waachwe waendelee na ya kwao. Isitoshe hao hawawezi kufanya whistleblowing kwa masuala yenye faida kwa nchi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…