- Thread starter
- #21
17 December 2023
Temeke, Dar es Salaam
Tanzania
KONGAMANO MANISPAA YA TEMEKE NI ENEO KUBWA LA UWEKEZAJI, DUNIA IFAHAMU
DC Sixtus Mapunda - Karibuni mchukue maeneo ya wilaya ya Temeke
View: https://m.youtube.com/watch?v=CrtCORBdsOI
Mkuu wa wilaya asema hayo katika kongamano la uwekezaji bandari kavu, viwanda na kuwa mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Bw. Elihuruma Mabelya anafafanua kuna maeneo ya wazi Mwembe Yanga, Kijichi, Kurasini na imebeba uchumi wa nchi ya Tanzania. DC Mapunda amebainisha tayari wawekezaji wa ndani kwa kushirikiana na wale wa nje wapo katika mchakacho kuwa ikifika 2025 ilani ya chama itakuwa imefikiwa.
Uchumi wa Tanzania umeunganishwa na nchi za jirani za Maziwa Makuu na kusini mwa Afrika kupitia miundombinu iliyounganishwa na bandari kuu ya Dar es Salaam kwa barabara kubwa, kiwanja cha ndege na hivyo itakuwa rahisi wawekezaji kuweka uwekezaji maeneo ya wazi ambayo yamevamiwa lakini serikali inaweza kuyatwaa na kuwapa wawekezaji anafafanua mkurugenzi wa manispaa ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam