Bandari ya Dar iko bizee balaa meli ni nyingi nyingi

Unataka kutulisha hyo sumu uliyoisaga
 
Nimepita hapo Jana, sio kweli kama unavyosema. Meli ni chache ukilinganisha na kipindi Cha nyuma ambapo meli za mizigo (Container ships) na zile zinazobeba magari (Roll on- roll of freights/ships- Roro+) zilikuwa haziachani
Mimi naziona hapo,sasa hivi. Wewe jana umeona meli ngapi?
 
Mimi ningefurahi sana kama ungetuambia meli zinapakia kwa wingi sana bidhaa zetu bora kwenda nje ya bara letu.
Kwa maaana kwa kukushusha bidhaa za nje kuingia ndani pesa yetu inapungua thamani na kuzorotesha uchumi wetu,.....kazi IPO sana
Ila IPO siku itakuwa viceversa
 
Hata sisi tumepishana na "SARATOGA" muda sio mrefu uliopita.
Iko biize sana.
 
vp kama mizigo inaenda Kongo, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia nk mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…