Bandari ya Dar iko bizee balaa meli ni nyingi nyingi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Ukipita maeneo ya lango kuu la nchi yetu maeneo ya bandari hali sio hali, yaani ni shughuli mwanzo mwisho pamoja na mamlaka husika kufanya kazi usiku na mchana, meli ni nyingi hakuna mfano,yaani bandari yetu iko bize balaa, chombo kinaingia, huku kuna kingine kinatoka kingine kinapakia mzigo kingine kinashusha.

In short bandari yetu iko bizee balaa meli ni nyingi nyingi. Ndio maana ni vigumu kuwaona wale jamaa ambao miaka miwili iliyopita walikuwa wanaleta takwimu za meli hapa kila siku.

Mpaka ninaingia mitamboni hapa kuna vyombo kadhaa vinapkuwa cargo vikiwemo EURO SPIRIT na COSCO SHIPPING na kwa mbaaaalii naziona meli kadhaa zikiwa parking zinasubiri foleni.

Kweli maendeleo hayana chama, Mungu ibariki Tanzania.
 
Ndio maendeleo yanayopaswa kupongezwa na Watanzania wote na Waafrika kila mahali, hii Afrika tunaweza kutoka kwenye umaskini huu tukipania.
 
Wale Vilaza Fuata Upepo hauta waona humu
Maana Habari yao nzuri ni Ile mbaya kwa Taifa
Akijua kuna Watanzania zaidi ya Mamake,Babake wanao Koma
Kumbe Sivyo

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Hata wewe ni fuata upepo, wapo ambao ni +ve wengine wapo -ve. Kila mtu amiliki anachokiamini.
 
Ukipita maeneo ya lango kuu la nchi yetu maeneo ya bandari hali sio hali, yaani ni shughuli mwanzo mwisho pamoja na mamlaka husika kufanya kazi usiku na mchana, meli ni nyingi hakuna mfano,yaani bandari yetu iko bize balaa, chombo kinaingia, huku kuna kingine kinatoka kingine kinapakia mzigo kingine kinashusha.
In short bandari yetu iko bizee balaa meli ni nyingi nyingi. Ndio maana ni vigumu kuwaona wale jamaa ambao miaka miwili iliyopita walikuwa wanaleta takwimu za meli hapa kila siku.
Mpaka ninaingia mitamboni hapa kuna vyombo kadhaa vinapkuwa cargo vikiwemo EURO SPIRIT na COSCO SHIPPING na kwa mbaaaalii naziona meli kadhaa zikiwa parking zinasubiri foleni.
Kweli maendeleo hayana chama, Mungu ibariki Tanzania.
PRAISE KWAYA
 
Dah...kweli uchafu kila mahali...yaani kama Feri tu..hivi hawana watu wa usafi? 😎
 
Hahahahaha I love your sarcasm!
Ukipita maeneo ya lango kuu la nchi yetu maeneo ya bandari hali sio hali, yaani ni shughuli mwanzo mwisho pamoja na mamlaka husika kufanya kazi usiku na mchana, meli ni nyingi hakuna mfano,yaani bandari yetu iko bize balaa, chombo kinaingia, huku kuna kingine kinatoka kingine kinapakia mzigo kingine kinashusha.
In short bandari yetu iko bizee balaa meli ni nyingi nyingi. Ndio maana ni vigumu kuwaona wale jamaa ambao miaka miwili iliyopita walikuwa wanaleta takwimu za meli hapa kila siku.
Mpaka ninaingia mitamboni hapa kuna vyombo kadhaa vinapkuwa cargo vikiwemo EURO SPIRIT na COSCO SHIPPING na kwa mbaaaalii naziona meli kadhaa zikiwa parking zinasubiri foleni.
Kweli maendeleo hayana chama, Mungu ibariki Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka picha!!!
 
Wingi siyo hoja, je mapato yanaingia??? Maana upo wakati maelfu kwa maelfu ya makontena yalikuwa yanaingia na mengine ya on transit lakini kube mapato yalikuwa kama asilimia 2 ya kiasi kinachotakiwa
 
AISEE..... SAFISHENI HUO UCHAFU HARAKA SANA KABLA SIJAKASIRIKA..... na ni nani amechafua hapo bandari dar////////
 
kuna meli kumi kutoka mwezini na tano za sayari ya mars, zinaunga juhudi za mpendwa
 
Acheni upumbavuu, nasema tena acheni upumbavuu, bora ningekuwa wajingaa tungewaelewa.

Mnaona raha meli kupaki koko bichi siku kumi au....

Tupanue bandari yetu au tujenge nyingine bagamoyo. Meli ni nyingi toka zamani sema berth hazitoshelezi mpaka zingine zinasubiri kitu ambacho si afya maana mizigo inachelewea koko bichi mazwazwa nyie
 
Sawasawa msemaji wa mamlaka ya bandari. Umesikika . Vipi huko fursa za vibarua zipo?
 
Nimepita hapo Jana, sio kweli kama unavyosema. Meli ni chache ukilinganisha na kipindi Cha nyuma ambapo meli za mizigo (Container ships) na zile zinazobeba magari (Roll on- roll of freights/ships- Roro+) zilikuwa haziachani
 
Ivi jamani mfano nikitaka kufanya kazi za melini natakiwa kufanya kitu gani ili niweze kupata kazi mle ndani
 
Ivi jamani nikitaka kazi za ndani ya meli nipitie njia gani,na pia ni taaluma gani ukiwa nayo ni rahisi kupata kazi
 
Back
Top Bottom