Bandari ya Dar: Ushindi wa Marekani dhidi ya miungano ya kikomonisti

Bandari ya Dar: Ushindi wa Marekani dhidi ya miungano ya kikomonisti

Imalamawazo

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2021
Posts
1,343
Reaction score
3,269
Marekani ameendelea kuwa mwiba mkali dhidi ya miungano ya kikomonisti. Kumbukumbu zinaonyesha alivyofanikiwa kuisambaratisha USSR kupitia mtu wao Gorbachev.

Kwa ukanda huu wa Afrika na mashariki ya mbali alikuwa amebakiza China na Tanzania. Hatimaye, mbinu iliyoboreshwa kutoka ile ilivyotumika kwa USSR imetumika kuubomoa muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Naomba uambatane nami katika mkasa huu wa kihistoria ambapo tutaangazia jinsi ubinasishaji wa bandari zote za Tanganyika kwa mwavuli wa bandari ya Dar ilivyofanikiwa kuibua hisia za utaifa kwa watanganyika ilhali ikikuza utengano na Wazanzibari.
 
Back
Top Bottom