Bandari ya Mombasa kuchuliwa na Wachina

Bandari ya Mombasa kuchuliwa na Wachina

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
Bandari ya Mombasa kuchuliwa na Wachina hivi karibuni baada ya Kenya kushindwa kulipa mkopo. Mkopo waliopewa Kenya kwa ajili ya kujenga SGR ambayo kwa sasa mradi huo umeshindwa kuingiza faida. Kenya inabidi kuanzia mwakani wawaachie wachina bandari hiyo ya Mombasa kwa muda wa miaka 99 ili mkopo huo ujilipe. Kenya inafuata nyayo za Zambia, Zimbawe - hawa airport zao zishachukuliwa na Wachina. Tanzania wana cha kujifunza hapa.
 
.
Huku kwetu mikopo inabaki kuwa ni siri ya mali ya viongozi na serikali. Lakini kulipa zinatumika rasilimali zetu. Mchina mjanja sana. Hata bongo ipo siku tu!
Mficha maradhi kifo kitamuumbua!
 
Huku kwetu mikopo inabaki kuwa ni siri ya mali ya viongozi na serikali. Lakini kulipa zinatumika raslimali zetu. Mchina mjanja sana. Hata bongo ipo siku tu!
Mficha maradhi kifo kitamuumbua!
Hofu yako tu mkuu binafsi ninayo imani kubwa sana kwa viongozi wetu licha ya mapungufu yao
Hatujafikia hatua hii kabisa na kwa namna ninavyowajua bado wana hofu ya Mungu na hawajawa wabinafsi kwa kiasi hiki
Poleni sana Wakenya nadhani kupitia nyie tunalo la kujifunza
 
I don’t see any problem provided the whole loan subjecting the Kenyans to surrender their port was utilized to develop the infrastructure, if not the culprits should be executed.
 
Soma hiyo ndio utaona shida
 
Yani watanzania hivi ndo huua mmnaendeshha mada zenu kule kwa section ya JF ya habari za Tanzania???? mtu yeyote tu anaweza kuanzisha mada na atunge aya moja alafu kazi kwa wengine sasa watoe maoni kana kwamba ni hoja ya uhakika???

Mwaka wa 2018/19 Kenya imelipa madeni ya takriban $8.2B ambayo ni asilimia 96.8% ya madeni yote amabayo Kenya ilikua inafaa kulipa mwaka huo wa 2018/19 (Yani kuanzia June 2018 hadi June 2019) yakijumlishwa...

2210833_1573569560042.png

2210836_1573569643912.png

Alafu jamaa anakurupukwa na kuja kuanzisha mada kwamba Kenya imeshindwa kulipa deni na Bandari litachukuliwa ...... wapi ushahidi? wapi maelezo? Tumeshindwa kulipa na kiasi ghani?

Hivi unajua SGR kukosa kutengeneza faida haimaanishe Kenya Kushindwa kulipa manake tunaweza kutumia hela kutoka kwengine kulipa hilo deni?

Hivi unajua bandari ya mombasa hutengeneza $400million kwa mwaka? Kulipa deni la $5Billion kutumia bandari ya Mombasa itachukua miaka 12.5, sasa hio 99 umeitoa wapi??

--------------------------------------------
 
Mwanzo Umeisoma hio habari ya Naton Jr Ukaona iliandikwa lini ? ameweka habari ya mwaka jana wakati mimi nimeleta takwimu za mwisho wa mwaka 2018-2019 zinazo onyesha madeni yalio lipwa hadi June 2019!!!

1573912808916.png
 
Attachments

  • 1573912809504.png
    1573912809504.png
    58.1 KB · Views: 1
Yani watanzania hivi ndo huua mmnaendeshha mada zenu kule kwa section ya JF ya habari za Tanzania???? mtu yeyote tu anaweza kuanzisha mada na atunge aya moja alafu kazi kwa wengine sasa watoe maoni kana kwamba ni hoja ya uhakika???

Mwaka wa 2018/19 Kenya imelipa madeni ya takriban $8.2B ambayo ni asilimia 96.8% ya madeni yote amabayo Kenya ilikua inafaa kulipa mwaka huo wa 2018/19 (Yani kuanzia June 2018 hadi June 2019) yakijumlishwa...

2210833_1573569560042.png

2210836_1573569643912.png

Alafu jamaa anakurupukwa na kuja kuanzisha mada kwamba Kenya imeshindwa kulipa deni na Bandari litachukuliwa ...... wapi ushahidi? wapi maelezo? Tumeshindwa kulipa na kiasi ghani?

Hivi unajua SGR kukosa kutengeneza faida haimaanishe Kenya Kushindwa kulipa manake tunaweza kutumia hela kutoka kwengine kulipa hilo deni?

Hivi unajua bandari ya mombasa hutengeneza $400million kwa mwaka? Kulipa deni la $5Billion kutumia bandari ya Mombasa itachukua miaka 12.5, sasa hio 99 umeitoa wapi??

--------------------------------------------
Du yaani bandari ya mombasa mnasema ni bandari kubwa kuliko zote lakini inataengeneza only $420 million? Dar es salaam port can handle only 15.8 million tons na inaingiza $ 390 miliion.. wakenya mna wizi sana miongoni mwenu.. Mombasa port kwa ukubwa ilionao inatakuwa iingize $ 600mil atleast...Poleni sana
 
Tena Dar port ipo kwenye upanuzi 😂😂😂 ikikamilika itakuwa safi sana.
 
kaikliilmiamkaakkaikQUOTE="babayao255, post: 33492544, member: 545870"]
Tena Dar port ipo kwenye upanuzi 😂😂😂 ikikamilika itakuwa safi sana.
[/QUOTE]
Ikikamilika itakuwa na uwezo wa kuhandle tani 28.5 million kwa mwaka.. It will feed hizo tani kwa SGR.. SGR yetu ili kuleta faida itahitaji kubeba tani 20 million a year.. ukizingatia itakuwa inatumia umeme it will be cheply ran na haitaleta hasara kama ya wenzety
 
Bumbiza Kweli kabisa,
Pia bila kusahau Tanga port ambayo nayo inaongezwa kina,
Hii Tanga port wakenya wamenza kuiogoa.
 
Sure!! Wakenya wanasema Magufuli ni "quoxotic and ham fisted" Ngoja awanyoshe!! Na wasipokuwa makini tutawaacha mbali sana
 
Back
Top Bottom