Yani watanzania hivi ndo huua mmnaendeshha mada zenu kule kwa section ya JF ya habari za Tanzania???? mtu yeyote tu anaweza kuanzisha mada na atunge aya moja alafu kazi kwa wengine sasa watoe maoni kana kwamba ni hoja ya uhakika???
Mwaka wa 2018/19 Kenya imelipa madeni ya takriban $8.2B ambayo ni asilimia 96.8% ya madeni yote amabayo Kenya ilikua inafaa kulipa mwaka huo wa 2018/19 (Yani kuanzia June 2018 hadi June 2019) yakijumlishwa...
Alafu jamaa anakurupukwa na kuja kuanzisha mada kwamba Kenya imeshindwa kulipa deni na Bandari litachukuliwa ...... wapi ushahidi? wapi maelezo? Tumeshindwa kulipa na kiasi ghani?
Hivi unajua SGR kukosa kutengeneza faida haimaanishe Kenya Kushindwa kulipa manake tunaweza kutumia hela kutoka kwengine kulipa hilo deni?
Hivi unajua bandari ya mombasa hutengeneza $400million kwa mwaka? Kulipa deni la $5Billion kutumia bandari ya Mombasa itachukua miaka 12.5, sasa hio 99 umeitoa wapi??
--------------------------------------------