Huku kwetu mikopo inabaki kuwa ni siri ya mali ya viongozi na serikali. Lakini kulipa zinatumika rasilimali zetu. Mchina mjanja sana. Hata bongo ipo siku tu!Bandari ya Mombasa kuchuliwa na Wachina hivi karibuni baada ya Kenya kushindwa kulipa mkopo. Mkopo waliopewa Kenya kwa ajili ya kujenga SGR ambayo kwa sasa mradi huo umeshindwa kuingiza faida. Kenya inabidi kuanzia mwakani wawaachie wachina bandari hiyo ya Mombasa kwa muda wa miaka 99 ili mkopo huo ujilipe. Kenya inafuata nyayo za Zambia, Zimbawe - hawa airport zao zishachukuliwa na Wachina. Tanzania wana cha kujifunza hapa.
.
Hofu yako tu mkuu binafsi ninayo imani kubwa sana kwa viongozi wetu licha ya mapungufu yaoHuku kwetu mikopo inabaki kuwa ni siri ya mali ya viongozi na serikali. Lakini kulipa zinatumika raslimali zetu. Mchina mjanja sana. Hata bongo ipo siku tu!
Mficha maradhi kifo kitamuumbua!
I donβt see any problem provided the whole loan subjecting the Kenyans to surrender their port was utilized to develop the infrastructure, if not the culprits should be executed.
Dua la kuku halimpati mweweHuku kwetu mikopo inabaki kuwa ni siri ya mali ya viongozi na serikali. Lakini kulipa zinatumika raslimali zetu. Mchina mjanja sana. Hata bongo ipo siku tu!
Mficha maradhi kifo kitamuumbua!
Yani watanzania hivi ndo huua mmnaendeshha mada zenu kule kwa section ya JF ya habari za Tanzania???? mtu yeyote tu anaweza kuanzisha mada na atunge aya moja alafu kazi kwa wengine sasa watoe maoni kana kwamba ni hoja ya uhakika???
Mwaka wa 2018/19 Kenya imelipa madeni ya takriban $8.2B ambayo ni asilimia 96.8% ya madeni yote amabayo Kenya ilikua inafaa kulipa mwaka huo wa 2018/19 (Yani kuanzia June 2018 hadi June 2019) yakijumlishwa...
Alafu jamaa anakurupukwa na kuja kuanzisha mada kwamba Kenya imeshindwa kulipa deni na Bandari litachukuliwa ...... wapi ushahidi? wapi maelezo? Tumeshindwa kulipa na kiasi ghani?
Hivi unajua SGR kukosa kutengeneza faida haimaanishe Kenya Kushindwa kulipa manake tunaweza kutumia hela kutoka kwengine kulipa hilo deni?
Hivi unajua bandari ya mombasa hutengeneza $400million kwa mwaka? Kulipa deni la $5Billion kutumia bandari ya Mombasa itachukua miaka 12.5, sasa hio 99 umeitoa wapi??
--------------------------------------------
Soma hiyo ndio utaona shida
Du yaani bandari ya mombasa mnasema ni bandari kubwa kuliko zote lakini inataengeneza only $420 million? Dar es salaam port can handle only 15.8 million tons na inaingiza $ 390 miliion.. wakenya mna wizi sana miongoni mwenu.. Mombasa port kwa ukubwa ilionao inatakuwa iingize $ 600mil atleast...Poleni sanaYani watanzania hivi ndo huua mmnaendeshha mada zenu kule kwa section ya JF ya habari za Tanzania???? mtu yeyote tu anaweza kuanzisha mada na atunge aya moja alafu kazi kwa wengine sasa watoe maoni kana kwamba ni hoja ya uhakika???
Mwaka wa 2018/19 Kenya imelipa madeni ya takriban $8.2B ambayo ni asilimia 96.8% ya madeni yote amabayo Kenya ilikua inafaa kulipa mwaka huo wa 2018/19 (Yani kuanzia June 2018 hadi June 2019) yakijumlishwa...
Alafu jamaa anakurupukwa na kuja kuanzisha mada kwamba Kenya imeshindwa kulipa deni na Bandari litachukuliwa ...... wapi ushahidi? wapi maelezo? Tumeshindwa kulipa na kiasi ghani?
Hivi unajua SGR kukosa kutengeneza faida haimaanishe Kenya Kushindwa kulipa manake tunaweza kutumia hela kutoka kwengine kulipa hilo deni?
Hivi unajua bandari ya mombasa hutengeneza $400million kwa mwaka? Kulipa deni la $5Billion kutumia bandari ya Mombasa itachukua miaka 12.5, sasa hio 99 umeitoa wapi??
--------------------------------------------
Tena Dar port ipo kwenye upanuzi πππ ikikamilika itakuwa safi sana.Du yaani bandari ya mombasa mnasema ni bandari kubwa kuliko zote lakini inataengeneza only $420 million? Dar es salaam port can handle only 15.8 million tons na inaingiza $ 390 miliion.. wakenya mna wizi sana miongoni mwenu.. Mombasa port kwa ukubwa ilionao inatakuwa iingize $ 600mil atleast...Poleni sana
Sure!! Wakenya wanasema Magufuli ni "quoxotic and ham fisted" Ngoja awanyoshe!! Na wasipokuwa makini tutawaacha mbali sanaBumbiza Kweli kabisa,
Pia bila kusahau Tanga port ambayo nayo inaongezwa kina,
Hii Tanga port wakenya wamenza kuiogoa.
Mfano ni hii tweet ya huyu mkenya πππSure!! Wakenya wanasema Magufuli ni "quoxotic and ham fisted" Ngoja awanyoshe!! Na wasipokuwa makini tutawaacha mbali sana