Kazetela
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,714
- 1,642
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nchi ishindwe kulipa deni ya kireli kimoja?,,kwani watu hawalipi kodi?,mapato ya nchi ni makubwa sana kushindwa kulipa project moja,
si mnaona hata sisi tunanunua ndege kama tunanunua pipi?