Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Sasa mtu kaamua kushusha bei kwenye bidhaa yake yanini kulialia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mzee3/4 ni misitu kule kwenye watu ndiko tunashindania.
Nakubaliana na wewe, lakini na sisi tujirekebishe kuna mambo ya kipuuzi na kijinga sana pale bandarini(naamini utakubaliana na mimi katika hili)kuna uzembe, urasimu sana pale bandarini, sasa katika dunia hii ya ushindani ni rahisi sana kupoteza wateja!Kuna protokali za biashara za EAC so unapopambania Nchi yako una wajibu wa kuhakikisha huathiri wengine katika namna ambayi haileti ushindani sawia..
Ukienda hivi unaweza fikia uhasama kama wa Mwendazake na Mwisho wa siku kuharibu kila kitu.
😳😳😳😳😳😳😳😳 Bahari ipi Hiyo?Huwa sielewi kwann Congo DRC anatumia bandari za nchi nyingine wakati yeye mwenyewe kapakana na bahari?
Kwa mwenye majibu tafadhali?
Unaanzisha vita na vijana wa Ufipani.Ruto ni Magufuli wa Kenya. Jamaa ni natinalist. Kwake yeye ni Kenya kwanza.
Uko sahihi kabisa.. Tutegemee lawama nyingi atazoelekeza kwa mtangulizi wake kama vile yeye hakuwa Serikalini..Ruto ni Magufuli wa Kenya. Jamaa ni natinalist. Kwake yeye ni Kenya kwanza.
Hamna haja kupanic. Bila faul play kama kufanyia hujuma dar port ni rahisi tu kuishinda bandari ya mombasa kwa mizigo ya congo.Nawasalimu kwa jina la JMT,bila shaka mnaendelea kuchapa Kazi..
Kama inavyosomeka kwenye kichwa cha habari,Bandari ya Mombasa imetoa Ofa kabambe na kedekede Kwa Mizigo ya Congo DRC kupitia kwao, Kifurishi cha Ofa kinahusisha mambo yafuatayo;
1.Kupunguza gharama za kuhifadhi mizigo.
2.Kufuta gharama na vikwazo visivyo vya kikodi barabarani.
3.Kuwapa eneo Ili wajenge Dryport yao Ili wawe wanahifadhia mizigo yao hapo.
4.Ofa zingine za ki institutions.
Naomba ikumbukwe kwamba Bandari ya Dar inategemea zaidi mizigo ya Congo DRC kwa mapato sasa kwa Ofa hizi ni wazi bandari ya Dar inaenda kuwa tembo mweupe.
Ni vyema serikali kupitia TPA nao wakaja na counter offensive za kukabili ushindani wa kibiashara na kuongeza competitiveness yetu kwenye biashara ya logistics.
Tanzania inaongoza kwa kuwa na utitiri wa Kodi na tozo kwenye biashara bila kusahau utitiri wa vikwazo visivyo vya Kodi NTBs kama mamizani kila sehemu,traffic kila sehemu,sijui parking za malori za Halmashauri na blaa blaa zingine kama hizo.
Tukiendelea hivi bandari yetu itakuwa tembo mweupe na ikumbukwe kwamba hakuna kosa Wakenya Wamefanya ila ni mbinu za kukuza biashara.
Source> Uchumi Forum👇
View attachment 2357571View attachment 2357576View attachment 2357577
Huwa sielewi kwann Congo DRC anatumia bandari za nchi nyingine wakati yeye mwenyewe kapakana na bahari?
Kwa mwenye majibu tafadhali?
Bandari ya Mombasa ni kinara katika ukanda huu wa East Africa. Ukiwauliza wazambia kwanini magari yao wanashusha Mombasa wanakuambia hakuna longolongo na kupotezeana muda.
Bandari ya mombasa ina gati 47 wakati ya dsalaam ina gati 13.
Kenya wanatufundisha sio lazima uweke kodi nyingi na kubwa upate wakati unaweza ukaweka kodi kidogo na ukapata zaidi. Hili wakaliangalie hata kwenye tozo mara luku,mara nida inaexpire muda ulipe, mara majengo,mara osha, paye mara vat. Wekeni kodi ndogo ambayo watu wengi watalipa.
Na kwatazamo Ruto atawabeba wakenya kwani ana mawazo mapya na yanayolingana na wafanyabiashara kwani naye ni mfanyaboashara.
Suluhisho ninkuingiza pesa na kujenga bandari ya Bagamoyo Kwa awamu,haina haja ya kusubiria Wachina au Wamarekani,dola bil.10 ni sawa na Til .23 ni miaka 6 tuu ujenzi unamalizika..Bandari ya Mombasa ni kinara katika ukanda huu wa East Africa. Ukiwauliza wazambia kwanini magari yao wanashusha Mombasa wanakuambia hakuna longolongo na kupotezeana muda.
Bandari ya mombasa ina gati 47 wakati ya dsalaam ina gati 13.
Kenya wanatufundisha sio lazima uweke kodi nyingi na kubwa upate wakati unaweza ukaweka kodi kidogo na ukapata zaidi. Hili wakaliangalie hata kwenye tozo mara luku,mara nida inaexpire muda ulipe, mara majengo,mara osha, paye mara vat. Wekeni kodi ndogo ambayo watu wengi watalipa.
Na kwatazamo Ruto atawabeba wakenya kwani ana mawazo mapya na yanayolingana na wafanyabiashara kwani naye ni mfanyaboashara.
Wakati huo Bandari ya Tanga inafanya nini sasaHizi siasa tu... Mombasa hata hivi sasa inahudumia sana mizigo ya Kaskazini Mashariki ya DRC, wakati mizigo mingi inayoenda maeneo ya Kusini inapita Dar.
Bandari ya Tanga ilikuwa imeachwa bila kuendelezwa kwa muda mrefu sana; kwa investment zinazofanyika sasa hivi, itakuwa alternative kwa Rwanda na Burundi. Umbali wa Tanga kwenda Kigali ni mfupi kuliko Mombasa - Kigali, plus haupitii nchi ya tatu i.e Uganda.Wakati huo Bandari ya Tanga inafanya nini sasa
Kama ndio hivyo hongera kwao Kenya kwa hicho wanachotaka kufanya kwa manufaa ya taifa lao.Nawasalimu kwa jina la JMT,bila shaka mnaendelea kuchapa Kazi..