KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,152
nafurahi mnavyoleta hivi vitu kwasababu mnamfanya magufuli achanganyikiwe afanye kazi kwa moyo wote, atawashughulikia tu kuna siku hamtaamini.
so is our Terminal III that unfortunately rainwater went to terminal II! and fools are celebratingUjenzi wa barabara ya bandari bado unaendelea.........
naona kuna floods
Mafuriko yako nchi nyingi sana. Hizo ni natural disasters ambazo haziezi kuepukwa. Hata nchi zilizoendelea hawawezi kukumbana nazo. Nchi haitaweza kusema hawajengi sababu mafuriko huja, ama tornado, ama tetemko la ardhi ama hurricanes. Ujenzi lazima uendelee so sikuelewa pointi yako hasa ni nini. Hata tukijenga mitaro ya maji bado mama nature akiamua kunyesha bila kusimama bado mafuriko yatakuwa. Tupende tusipende.
Arrivals wanaogelea to safety?so is our Terminal III that unfortunately rainwater went to terminal II! and fools are celebrating