KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,152
nafurahi mnavyoleta hivi vitu kwasababu mnamfanya magufuli achanganyikiwe afanye kazi kwa moyo wote, atawashughulikia tu kuna siku hamtaamini.
Kwa nini atishughulikie? Kila mtu na development agenda ya kwake. Msifanye eti kwa kuwa Kenya imefanya?