Bandarini kuna changamoto gani hasa inayochelewesha mizigo?

Bandarini kuna changamoto gani hasa inayochelewesha mizigo?

Abubakari Mussa

Senior Member
Joined
Mar 26, 2020
Posts
129
Reaction score
188
Wadau habari zenu, kumekua na ongezeko la malalamiko kuhusu kucheleweshwa kwa mizigo bandarini hadi kufikia siku 40 mzigo unakuta umekwama.

Vipi hili swala limekaaaje? Changamoto ni nini haswa?
 
DP world vipi tena!? Mbona mie nilipata sifa zao nzuri nzuri. Au wanahujumiwa!?
 
AWA MACCM UKIWASIKIA WAKIONGEA WAKIWA WANATAKA KUPIGA DILI UNAWEZA SEMA AWO DP WAKIJA NDIO SULUISHO LA KILA KITU ILA TANGU WAMEKUJA MAMBO NDIO OVYO KABISA NA GARAMA ZIMEPANDA KWA 50% HII INCHI VIJANA TUNATAKIWA TULILIE KATIBA MPYA AMBAYO IJE IBADILI MFUMO WA OVYO WA UENDESHAJI NNCHI NA MISINGI YAKE KABISA NA PIA TUPATE VIONGOZI WAZARENDO HASWA
 
Inakuwaje raisi anafanya maamuzi ya vizazi vitatu vijavyo miaka 30 kwa nn isiwe miaka mitano kama zanzibar yaani kwamba unawaamulia watu kitu cha the next 30 years to come.
 
Inakuwaje raisi anafanya maamuzi ya vizazi vitatu vijavyo miaka 30 kwa nn isiwe miaka mitano kama zanzibar yaani kwamba unawaamulia watu kitu cha the next 30 years to come.
Wd acha tu
 
Back
Top Bottom