Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 369
- 1,093
Kwa vijana wa kileo:
Licha ya kutumia nguvu nyingi juu ya kutafuta haki, nakushauri jitengeneze Kwanza kiuchumi ukifuatilia baadhi ya Maisha binafsi ya viongozi wenu utaona Kuna kitu hakipo sawa.
NB: Najua wakereketwa mtatoa povu sana ila habari ndio Hyo. Kumbuka pia Taita amemaliza kujenga swimming pool Moja matata sana nyanda za juu kule uzunguni.