Binafsi naona kama sio kutafuta haki bali, kutafuta haki ni neno linalotumika mbadala wa kutafuta ugali wa Kila siku (haya ni maoni binafsi)Katika hayo yote ukumbuke kuwa hapa duniani kila mtu ana haki ya kupata haki zake zote za msingi.
Kila mtu ana uelewa wale mkuu.Binafsi naona kama sio kutafuta haki bali, kutafuta haki ni neno linalotumika mbadala wa kutafuta ugali wa Kila siku (haya ni maoni binafsi)
Una maanisha ukitafuta Haki,uwe maskini?!!Binafsi naona kama sio kutafuta haki bali, kutafuta haki ni neno linalotumika mbadala wa kutafuta ugali wa Kila siku (haya ni maoni binafsi)
La hasha, sijawahi kusikia kongamano kubwa la vijana na fursa za maendleo likizunguka nchi mzima na kufadhiliwa na taasisi kubwa za kifenda ndani na nje ya nchi lililoandaliwa na CDM.U
Una maanisha ukitafuta Haki,uwe maskini?!!
Uko vizuri,nimekuelewaLa hasha, sijawahi kusikia kongamano kubwa la vijana na fursa za maendleo likizunguka nchi mzima na kufadhiliwa na taasisi kubwa za kifenda ndani na nje ya nchi lililoandaliwa na CDM.
Maana yangu, Ikifika muda wa siasa ninaunga mkono hoja kwamba ihubiriwe siasa tena kwa matendo ila uchaguzi ukiisha basi wanachama wawe pia wanaandaliwa platforms mbali mbali kuhusu maendleo binafsi au kukuza uchumi binafsi.
Nadhani tungekuwa mbali sana, Najua Kuna wajuaji watakuja kunishambulia sana hapa ila Kuna jicho nimeangalia drama zinazoendelea nimeona Kuna aina Fulani ya upotoshwaji ila sijathibitisha.
Tapika tuu mkuu, sasa mbona hizo ni ndogo tu! Kwa strategia mnazotumia mtapiga kelele mpaka mwisho wa Dunia. Mkibadilisha strategia at least baada tu ya kipindi kifupi kijacho mtafanikiwa.Achana na maisha ya mtu binafsi mpumbavu weweView attachment 3314861
Tapika tuu mkuu, sasa mbona hizo ni ndogo tu! Kwa strategia mnazotumia mtapiga kelele mpaka mwisho wa Dunia. Mkibadilisha strategia at least baada tu ya kipindi kifupi kijacho mtafanikiwa.
Narudia tena kwa mbinu mnazotumia CCM itatawala milele.