Bando linapaa hadi kero

Bando linapaa hadi kero

Hebu nitumie
Niko safari mzee, ila ni Kama hili jeusi
download (10).jpeg

download (11).jpeg
 
Chukua 10, 000/- tafuta line yenye promo nunua la mwezi.

Mbadala WASILIANA NA TTCL wakufungie nyumbani kwako/ofisini. 55, 000/- kwa mwezi
Speed yao ni nzuri lakini au miyeyusho?
 
Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh 🙌🏾 adi kero

Nishaachana na mambo yao ,natumia 5G Router zao ,kwa mwezi ni elfu 70 tu ,natumia TVs ,natumia Simu ,Natumia Laptop kuconnect ,Youtube na Netflix ni mwanzo mwisho ,no stress.

Nilikuwa najiunga kifurushi cha 1.4GB kwa Buku 3 yaani dakika 0 kishaisha na hata ulichofanya hakijulikani.
 
Back
Top Bottom