Bando linapaa hadi kero

Jaman tatizo sio unlimited unaeka iyo afu katikati inakata
 
Chukua 10, 000/- tafuta line yenye promo nunua la mwezi.

Mbadala WASILIANA NA TTCL wakufungie nyumbani kwako/ofisini. 55, 000/- kwa mwezi
Speed yao ni nzuri lakini au miyeyusho?
 
Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ adi kero

Nishaachana na mambo yao ,natumia 5G Router zao ,kwa mwezi ni elfu 70 tu ,natumia TVs ,natumia Simu ,Natumia Laptop kuconnect ,Youtube na Netflix ni mwanzo mwisho ,no stress.

Nilikuwa najiunga kifurushi cha 1.4GB kwa Buku 3 yaani dakika 0 kishaisha na hata ulichofanya hakijulikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ