mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Wadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida?
Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa matumizi ya muda mwingi wa simu, ni nadra sana kunikuta instagram, ticktock, au youtube ikiwa nitakuwa natumia data kwa simu yangu, laah niwepo eneo lenye wifi ya ofisi ama kampuni ndipo huwa naingia huko.
Pia soma: Kwa wateja wa Vodacom: Jinsi ya Kupunguza Spidi ya Intaneti ili Bando lisiishe haraka
Hii imefanya nikiwa na mb 700 naweza vimba nazo hata siku 2, shida ni siku za hivi karibuni. Kwa leo peke yake nimeunga MB 700 mara 3 toka kumekucha, nashangaa sms za umetumia 75% kwa kasi sana.
Sijui kwenu pia wadau, au nawasingizia mtandao wangu pendwa,ambao nao wanataka waanze ubabaishaji kama hao wengine!