Bando za data Vodacom zinaisha kwa kasi ya ajabu, tatizo ni nini?

Wadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida?

Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa matumizi ya muda mwingi wa simu, ni nadra sana kunikuta instagram, ticktock, au youtube ikiwa nitakuwa natumia data kwa simu yangu, laah niwepo eneo lenye wifi ya ofisi ama kampuni ndipo huwa naingia huko.

Pia soma: Kwa wateja wa Vodacom: Jinsi ya Kupunguza Spidi ya Intaneti ili Bando lisiishe haraka

Hii imefanya nikiwa na mb 700 naweza vimba nazo hata siku 2, shida ni siku za hivi karibuni. Kwa leo peke yake nimeunga MB 700 mara 3 toka kumekucha, nashangaa sms za umetumia 75% kwa kasi sana.

Sijui kwenu pia wadau, au nawasingizia mtandao wangu pendwa,ambao nao wanataka waanze ubabaishaji kama hao wengine!
Ndugu yangu mi ni mwezi wa pili bando linakata mno.
Naweka kifurushi cha 20k GB 9000+ila siku 9 tu kimekata.
Nilidhani mi pekeangu
 
Ukichunguza kila app, data usage na background data utakuta hamna unachoibiwa.
Nyote hapa hamna ishahidi mnajishuku na kuhisi hamna mwenye evidence. Mgekuwa mnatumia simu za Xiaomi UI yao iko vizuri inaweza kukuonyesha kila KB moja iliyotumika kila siku na kila app iliyotumia, badala ya Android kukuonyesha matumizi ya jumla.

Kiufupi hamuibiwi ila mtandao wenye kasi zaidi hata data zinatumika haraka. Hakuna loading kila kitu kinakuwa displayed, hasa kwa Instagram na zaidi Tiktok.
 
Vodacom Tanzania wanauza hewa kinachoandikwa sio ulichonunua yaani ukipata 10gb ni sawa na wamekupa 4gb zako hapo...
 
Ndugu yangu mi ni mwezi wa pili bando linakata mno.
Naweka kifurushi cha 20k GB 9000+ila siku 9 tu kimekata.
Nilidhani mi pekeangu
Yaani Voda utahama vifurishi hakuna kitu mimi nanunua data tofauti na dakika za kupiga harafu sipigi sana simu ila napata meseji eti kifurushi kimekwisha?
Huko kwenye data nishawazoea wanavyotuibia..
 
Wadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida?

Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa matumizi ya muda mwingi wa simu, ni nadra sana kunikuta instagram, ticktock, au youtube ikiwa nitakuwa natumia data kwa simu yangu, laah niwepo eneo lenye wifi ya ofisi ama kampuni ndipo huwa naingia huko.

Pia soma: Kwa wateja wa Vodacom: Jinsi ya Kupunguza Spidi ya Intaneti ili Bando lisiishe haraka

Hii imefanya nikiwa na mb 700 naweza vimba nazo hata siku 2, shida ni siku za hivi karibuni. Kwa leo peke yake nimeunga MB 700 mara 3 toka kumekucha, nashangaa sms za umetumia 75% kwa kasi sana.

Sijui kwenu pia wadau, au nawasingizia mtandao wangu pendwa,ambao nao wanataka waanze ubabaishaji kama hao wengine!
Kama unatumia 5g au 4g hizo ni high speed transmission, lazima bundle litembee
Lakini pia angalia simu yako kama inafanya background update bila wewe kujua disable. Nazo zinatafuna bundle sana tu
 
Ulaji wa bando kwa voda na tigo ni balaa. Mimi hadi huwa nawaza labda yule jamaa aliyetumbuliwa ana percent yake huko maana watu walikuwa wakilalamikà yeye anawatetea. Huenda kuna namna tunachangia mifuko ya watu
 
Kama unatumia 5g au 4g hizo ni high speed transmission, lazima bundle litembee
Lakini pia angalia simu yako kama inafanya background update bila wewe kujua disable. Nazo zinatafuna bundle sana tu
Yaani nimezima kila kitu,matumizi ambayo awali nilikiwa natumia masaa kadhaa kwa sasa ni dkk kadhaa kwisha.
 
Muwe mnaangalia na settings za zimu zenu kwenye matumizi ya data kabla hamjaanza kulaumu, vodacom ni mmoja ya mtandao wenye kasi, baadhi ya simu zikisha sense spidi nziuri huwa zibajieka katika mode ya matumizi makubwa, mfano youtube video ya dk 2, kama unastream kwa 2160p inaeza kula hata 1gb
 
Hakuna cha setting hapo wengi tunazijua settings, haya mimi bundle lilikuwepo saa 6 na dk 19 usiku mtandao ukakata na bundle lipo na ndiyo hilohilo nalitumia hapa leo
 
Wizi mkubwa sana yaani per day unashangaa 1G inakata kimasihara dawa kususa huu mtandao
Gb moja sio kitu kikubwa inategemea unafanya nn, juzi nilikuwa na update simu yangu, file lilikuwa 2.3 gb, sikumaliza dk 5 nikawa nimeshamaliza ku download,
Miaka ya nyuma 1gb ukikuwa unadownload hata siku mbili.
 
hakuna mtandao unaiba MBs, kama huamini set network iwe 2G Only
dhibiti background activities za simu
 
Haya majamaa kumanina zao ni majizi sana gb 1 dk 15 tu
 
Wadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida?

Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa matumizi ya muda mwingi wa simu, ni nadra sana kunikuta instagram, ticktock, au youtube ikiwa nitakuwa natumia data kwa simu yangu, laah niwepo eneo lenye wifi ya ofisi ama kampuni ndipo huwa naingia huko.

Pia soma: Kwa wateja wa Vodacom: Jinsi ya Kupunguza Spidi ya Intaneti ili Bando lisiishe haraka

Hii imefanya nikiwa na mb 700 naweza vimba nazo hata siku 2, shida ni siku za hivi karibuni. Kwa leo peke yake nimeunga MB 700 mara 3 toka kumekucha, nashangaa sms za umetumia 75% kwa kasi sana.

Sijui kwenu pia wadau, au nawasingizia mtandao wangu pendwa,ambao nao wanataka waanze ubabaishaji kama hao wengine!
Tunaibiwa sana kwenye mb na huku TANESCO wanatumia kwenye units za Luku
 
Back
Top Bottom