Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Kuna app inarun background. Jaribu kuchunguza simu yako kwa umakiniWadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida?
Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa matumizi ya muda mwingi wa simu, ni nadra sana kunikuta instagram, ticktock, au youtube ikiwa nitakuwa natumia data kwa simu yangu, laah niwepo eneo lenye wifi ya ofisi ama kampuni ndipo huwa naingia huko.
Pia soma: Kwa wateja wa Vodacom: Jinsi ya Kupunguza Spidi ya Intaneti ili Bando lisiishe haraka
Hii imefanya nikiwa na mb 700 naweza vimba nazo hata siku 2, shida ni siku za hivi karibuni. Kwa leo peke yake nimeunga MB 700 mara 3 toka kumekucha, nashangaa sms za umetumia 75% kwa kasi sana.
Sijui kwenu pia wadau, au nawasingizia mtandao wangu pendwa,ambao nao wanataka waanze ubabaishaji kama hao wengine!
Halotel pia,kuanzia jana saa tatu usiku bando linaisha bila hata kuperuziNi kweli kabisa hiki kitu tangu jana nimeona data zinaisha kwa speed sana,Vodacom wameanza kutuibia wafanyiwe uchunguzi
Mimi zote zipo off hebu acha ujuaji, wanatuibiaSaa zngne ukute sio hata bando ni background apps ambazo bdo zinarun so lazma data iende muwe mnafanya uchunguzi kabla yakulalamika
Hata zilizopo hazifanyikaziWadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida?
Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa matumizi ya muda mwingi wa simu, ni nadra sana kunikuta instagram, ticktock, au youtube ikiwa nitakuwa natumia data kwa simu yangu, laah niwepo eneo lenye wifi ya ofisi ama kampuni ndipo huwa naingia huko.
Pia soma: Kwa wateja wa Vodacom: Jinsi ya Kupunguza Spidi ya Intaneti ili Bando lisiishe haraka
Hii imefanya nikiwa na mb 700 naweza vimba nazo hata siku 2, shida ni siku za hivi karibuni. Kwa leo peke yake nimeunga MB 700 mara 3 toka kumekucha, nashangaa sms za umetumia 75% kwa kasi sana.
Sijui kwenu pia wadau, au nawasingizia mtandao wangu pendwa,ambao nao wanataka waanze ubabaishaji kama hao wengine!
Vodacom are taking customers for granted, may be they do not know that business is people and it is there money which can make them prosper or notHata zilizopo hazifanyikazi
Duu bora wewe umetumia lugha laini labda watakusikilizaNilifikiria ni mimi peke yangu kumbe hata wengine mna experience the same ,naona labda sababu waziri NI Mpya kwenye wizara Kwa hivyo wanataka advantage ,yaani nilikuwa nikiweka mb zangu Kwa matumizi yangu yakawaida hata siku tano sasa hivi kidogo unatumiwa massage Kwamba umefikia 75% ya matumizi yako hii sio Sawa kabisa naomba service provider chonde chonde mliangalie hili Kwa jicho la tatu tunawamini naomba msituangushe.
Nenda sehemu ya setting, kisha nenda applications kisha kagua kila app nenda walipoandika data usage zima background data kwa kila appWadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida?
Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa matumizi ya muda mwingi wa simu, ni nadra sana kunikuta instagram, ticktock, au youtube ikiwa nitakuwa natumia data kwa simu yangu, laah niwepo eneo lenye wifi ya ofisi ama kampuni ndipo huwa naingia huko.
Pia soma: Kwa wateja wa Vodacom: Jinsi ya Kupunguza Spidi ya Intaneti ili Bando lisiishe haraka
Hii imefanya nikiwa na mb 700 naweza vimba nazo hata siku 2, shida ni siku za hivi karibuni. Kwa leo peke yake nimeunga MB 700 mara 3 toka kumekucha, nashangaa sms za umetumia 75% kwa kasi sana.
Sijui kwenu pia wadau, au nawasingizia mtandao wangu pendwa,ambao nao wanataka waanze ubabaishaji kama hao wengine!
Wizi mkubwa sana yaani per day unashangaa 1G inakata kimasihara dawa kususa huu mtandaoWadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida?