ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Bangi ni zao jema.
Cha kushangaza hapa kwetu inapigwa vita na Dola kwenye matumizi na uzalishaji wake.
Rwanda jirani yetu ameingiza $3.7 billion Kwa mwaka kutokana na zao hili.
Inashangaza tunaruhusu kilimo cha tumbaku ambayo ina madhara makubwa kuliko bangi na Kwa Sasa soko la sigara limeshuka na linakaribia kupotea kutokana na madhara yake na kwenye baadhi ya nchi sigara inapigwa marufuku.
Bangi ina faida kiafya inaimarisha afya ya moyo, Figo na mzunguko wa damu.
Bangi ina faida kiroho kwenye meditation, wahindi wanatumia bangi.
Bangi inafukuza wachawi na mapepo.
Nchi kubwa ulimwenguni kama USA, Canada, England, Russia n.k.
Tuna ardhi kubwa, nashauri hiyo Ngorongoro walipokuwa Masai serikali izalishe bangi iuze Kimataifa.
Tumezubaa kukata hela tunakomaa na tumbaku ambayo Kwa madhara yake haitakiwi, tulime bangi tukimbie umasikini