Bangi haina madhara yoyote kama tunavyoaminishwa, iruhusiwe

Bangi gani hiyo isiyo na madhara? Sasa bangi ikiruhusiwa si vijana wengi watakuwa vichaa? Wavuta bangi humu wapo wanajua jinsi bangi inavyozingua ukiivuta
 
Bangi/weed/marijuana/cannabas/ganja/msuba/nkonde/kushabo/jani ikiruhusiwa kulimwa na mirungi nayo itatakiwa ilimwe kwa kuwa nayo ina hela. Maulevi yote yatataka yawe free
 
Bangi ni zao jema.

Cha kushangaza hapa kwetu inapigwa vita na Dola kwenye matumizi na uzalishaji wake.

Rwanda jirani yetu ameingiza $3.7 billion Kwa mwaka kutokana na zao hili.

Inashangaza tunaruhusu kilimo cha tumbaku ambayo ina madhara makubwa kuliko bangi na Kwa Sasa soko la sigara limeshuka na linakaribia kupotea kutokana na madhara yake na kwenye baadhi ya nchi sigara inapigwa marufuku.

Bangi ina faida kiafya inaimarisha afya ya moyo, Figo na mzunguko wa damu.

Bangi ina faida kiroho kwenye meditation, wahindi wanatumia bangi.
Bangi inafukuza wachawi na mapepo.

Nchi kubwa ulimwenguni kama USA, Canada, England, Russia n.k.

Tuna ardhi kubwa, nashauri hiyo Ngorongoro walipokuwa Masai serikali izalishe bangi iuze Kimataifa.

Tumezubaa kukata hela tunakomaa na tumbaku ambayo Kwa madhara yake haitakiwi, tulime bangi tukimbie umasikini
BANGI INAONGEA....
 
Nilidhani utakuja na data au tafiti za kisayansi kuthibitisha madai haya, badala yake mada nzima imejaa hearsays na maoni binafsi. Sisi ambao jamaa na ndugu zetu wameanza kuvuta bangi tunawaona, na sasa ni vichaa na wasio na msaada kwa familia , hata kujitegemeza wenyewe hawawezi unataka tukueleweje? Nyie wavuta bangi ambao miili yenu ina tolerance ya kutosha kuwapatia akili za kujitambua kidogo muwe pia mnawafikiria ambao wameathirika kwa bangi
Bangi ni jani Mungu ameliumba kwa ajili ya watu wake( wenye kuimili) oxygen iko kila mahali bure na salama wasioweza wawekeze nguvu zao huko.
 
Bangi ina faida na hasara!
Kama Serikali inaweza kusimamia matumizi salama ya Mmea huo si vibaya ikiruhusu kuzalishwa zao hilo katika nchi yetu.
 
Bandi nyingi za bongo zimechakachuliwa, ukijichanganya unakua chizi kweli.
 
Nilidhani utakuja na data au tafiti za kisayansi kuthibitisha madai haya, badala yake mada nzima imejaa hearsays na maoni binafsi. Sisi ambao jamaa na ndugu zetu wameanza kuvuta bangi tunawaona, na sasa ni vichaa na wasio na msaada kwa familia , hata kujitegemeza wenyewe hawawezi unataka tukueleweje? Nyie wavuta bangi ambao miili yenu ina tolerance ya kutosha kuwapatia akili za kujitambua kidogo muwe pia mnawafikiria ambao wameathirika kwa bangi
Wanavuta bangi chafu
 
Bangi ni zao jema.

Cha kushangaza hapa kwetu inapigwa vita na Dola kwenye matumizi na uzalishaji wake.

Rwanda jirani yetu ameingiza $3.7 billion Kwa mwaka kutokana na zao hili.

Inashangaza tunaruhusu kilimo cha tumbaku ambayo ina madhara makubwa kuliko bangi na Kwa Sasa soko la sigara limeshuka na linakaribia kupotea kutokana na madhara yake na kwenye baadhi ya nchi sigara inapigwa marufuku.

Bangi ina faida kiafya inaimarisha afya ya moyo, Figo na mzunguko wa damu.

Bangi ina faida kiroho kwenye meditation, wahindi wanatumia bangi.
Bangi inafukuza wachawi na mapepo.

Nchi kubwa ulimwenguni kama USA, Canada, England, Russia n.k.

Tuna ardhi kubwa, nashauri hiyo Ngorongoro walipokuwa Masai serikali izalishe bangi iuze Kimataifa.

Tumezubaa kukata hela tunakomaa na tumbaku ambayo Kwa madhara yake haitakiwi, tulime bangi tukimbie umasikini
nenda kaongee na dr mkuu wa milembe mkuu!!
 
MAWEED nisipoona koment yako hapa basi huu uzi ni batilii kabisaa🫡
 
Back
Top Bottom