Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni ubaguzi kwanini ras mimi nisitie nenoGanjafarmer tia neno hapa.
Kaka yangu ameathiriwa na matumizi makubwa ya uvutaji wa bangi. Kaanza kuvuta bangi tangu mimi niko mdogo hadi sasa amezeeka maisha yake ni ovyo sana, hana mke ,hana mtoto, hana kwake ,yeye ni mtu wa kutangatanga kwa ndugu jamaa na marafiki.....mara leo yupo hapa kesho pale keshokutwa kule, haeleweki.Nilidhani utakuja na data au tafiti za kisayansi kuthibitisha madai haya, badala yake mada nzima imejaa hearsays na maoni binafsi. Sisi ambao jamaa na ndugu zetu wameanza kuvuta bangi tunawaona, na sasa ni vichaa na wasio na msaada kwa familia , hata kujitegemeza wenyewe hawawezi unataka tukueleweje? Nyie wavuta bangi ambao miili yenu ina tolerance ya kutosha kuwapatia akili za kujitambua kidogo muwe pia mnawafikiria ambao wameathirika kwa bangi
Unavuta bangi bro?Mie inanifanya kichwa kuuma.....
Nmeacha broUnavuta bangi bro?
Afadhali, maana.......Nmeacha bro
maneno ya kusikia hayaWAVUTAJI WENG NI VICHAA.INAATHARI KWNYE UBONGO.
Kabisa chiefNilidhani utakuja na data au tafiti za kisayansi kuthibitisha madai haya, badala yake mada nzima imejaa hearsays na maoni binafsi. Sisi ambao jamaa na ndugu zetu wameanza kuvuta bangi tunawaona, na sasa ni vichaa na wasio na msaada kwa familia , hata kujitegemeza wenyewe hawawezi unataka tukueleweje? Nyie wavuta bangi ambao miili yenu ina tolerance ya kutosha kuwapatia akili za kujitambua kidogo muwe pia mnawafikiria ambao wameathirika kwa bangi
Ukipata Bangi kali nzuri stiki moja inatosha sana kuwa highNashauri pia kuwe na elimu ya matumizi ya bangi
Jitu linatumia bangi asubuhi mchana na jioni kama ugali na wengine hutumia zaidi ya hapo
Kwa namna hiyo lazima tu bangi itakuwa na madhara kwako yani muonekano tu watu wanajua wewe ni mvuta bangi
Vuta bangi angalau mara moja kwa wiki
Kuna koo kuvuta bangi ni mwikoKaka yangu ameathiriwa na matumizi makubwa ya uvutaji wa bangi. Kaanza kuvuta bangi tangu mimi niko mdogo hadi sasa amezeeka maisha yake ni ovyo sana, hana mke ,hana mtoto, hana kwake ,yeye ni mtu wa kutangatanga kwa ndugu jamaa na marafiki.....mara leo yupo hapa kesho pale keshokutwa kule, haeleweki.
Pamoja na kuwa ni mtu mwema sana lakini ukikaa nae utagundua huyu mtu bangi imeshamuathiri, anavuta kama tumbaku vile, popote anasokota bangi lake analiwasha anavuta bila kujali.
Akishalivuta sasa! ana stories za maendeleo ya Dunia nzima. Anakwambia atatengeneza michongo ya hela atajenga nchi yake ambayo raia wake watakuwa ni watu wasio jiweza, walemavu, wazee, wajane, yatima na wanyonge. Atawalisha na kuhakikisha mahitaji yote muhimu wanayapata kwa gharama zake yeye.
Bangi sio aseeee
Tatizo yake tuKaka yangu ameathiriwa na matumizi makubwa ya uvutaji wa bangi. Kaanza kuvuta bangi tangu mimi niko mdogo hadi sasa amezeeka maisha yake ni ovyo sana, hana mke ,hana mtoto, hana kwake ,yeye ni mtu wa kutangatanga kwa ndugu jamaa na marafiki.....mara leo yupo hapa kesho pale keshokutwa kule, haeleweki.
Pamoja na kuwa ni mtu mwema sana lakini ukikaa nae utagundua huyu mtu bangi imeshamuathiri, anavuta kama tumbaku vile, popote anasokota bangi lake analiwasha anavuta bila kujali.
Akishalivuta sasa! ana stories za maendeleo ya Dunia nzima. Anakwambia atatengeneza michongo ya hela atajenga nchi yake ambayo raia wake watakuwa ni watu wasio jiweza, walemavu, wazee, wajane, yatima na wanyonge. Atawalisha na kuhakikisha mahitaji yote muhimu wanayapata kwa gharama zake yeye.
Bangi sio aseeee
Wewe na yeye wote hamjaeleweka,Nilidhani utakuja na data au tafiti za kisayansi kuthibitisha madai haya, badala yake mada nzima imejaa hearsays na maoni binafsi. Sisi ambao jamaa na ndugu zetu wameanza kuvuta bangi tunawaona, na sasa ni vichaa na wasio na msaada kwa familia , hata kujitegemeza wenyewe hawawezi unataka tukueleweje? Nyie wavuta bangi ambao miili yenu ina tolerance ya kutosha kuwapatia akili za kujitambua kidogo muwe pia mnawafikiria ambao wameathirika kwa bangi
Achana nayo, Uje kuirudia ukishaijua kiundani na ukishajipata vizuri kiuchumi.Mie inanifanya kichwa kuuma....
Mie inanifanya kichwa kuuma.....
Kuishi Tanganyika ni maumivu makali mno, kuvuta bangi ni njia sahihi ya kukabiliana na maishaKuna watu wapo kwenye maumivu makali sana bangi ndio tiba sahihi kwa cronic pain hapa hatuzungumzi kuvuta bangi au wavuta bangi.
Nadhani wewe unataka kutengeneza maana yako,Mnachanganya mambo sana, hapa inazungumziwa tiba ya bangi, lakini watu mnaingiza wavuta bangi thread haiwezi kuwa na maana wala kuelimisha bangi inatibu vipi.
Kuna watu wapo kwenye maumivu makali sana bangi ndio tiba sahihi kwa cronic pain hapa hatuzungumzi kuvuta bangi au wavuta bangi.
Nakubaliana na wewe, ndio maana nawaambiaga watu hakuna motoni, Watanzania wengi wameteketea tayari wakiwa hai.Kuishi Tanganyika ni maumivu makali mno, kuvuta bangi ni njia sahihi ya kukabiliana na maisha