Bangi hutumia muda gani kutoka kwenye akili?

Bangi hutumia muda gani kutoka kwenye akili?

February Makamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
2,151
Reaction score
2,983
Maldives!

Wakuu kwema? Hivi inachukua mda gani bangi kuondoka kwenye ubongo wa binadamu mpaka urudi kuwa normal?

Yani naongelea ile full Cannabinoid detoxification. Yani mpaka pale Neurones zirudi kwenye hali ya kabla hazijawa stimulated na CBD ya bangi?

Nlkuwa napiga dozi kwa siku mara 3, ila nmeacha Nipo mwezi wa 2 huu. Nataka kujua ni lini effects zote ztakuwa zimeisha.
 
Kumbe hadi bangi ina CBD(central business district) Kama posta? Basi ni hatari Sana.

Kuhusu inakaa muda gani kichwani Hadi kuisha,Kikubwa inategemea umevuta bangi ya wapi.

Mfano bangi ya kimbiji Ni kali Sana nadhani kwa sababu inapata chumvichumvi ya bahari. Bangi ya Arusha ndiyo unaweza kugeuka mwehu ikizidi kichwani.

Ya Dodoma imepooza kwa sababu ya ukame wa Dodoma,so siyo Kali kulinganisha na hizi mbili,Kuna ya milima ya uluguru Moro,ya Tanga alafu Kuna ya Tarime. So kuwa specific; unaongelea bangi ya wapi.
 
Akili yako ya kawaida ilikuwa vipi na akili yako ya sasa ipo vipi ?

Nadhani wewe ndio practically unaweza ukatoa majibu...

Akili yako ya kawaida ilikuwa vipi na akili yako ya sasa ipo vipi ?

Nadhani wewe ndio practically unaweza ukatoa majibu...

Kipindi navuta kila siku nlkuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa, hata kitu kidogo nataka nikichimbe kwa undani sana.
Saivi naona hiyo hali imepungua.
 
Kipindi navuta kila siku nlkuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa, hata kitu kidogo nataka nikichimbe kwa undani sana.
Saivi naona hiyo hali imepungua.
Basi endelea kuvuta... au fanya meditation it seems ulikuwa bora kuliko hivi sasa....

Caution: Drug Abuse haifai, itaku-abuse wewe...
 
Kumbe hadi bangi ina CBD(central business district) Kama posta? Basi ni hatari Sana.

Kuhusu inakaa muda gani kichwani Hadi kuisha,Kikubwa inategemea umevuta bangi ya wapi...
Nimepiga sana bangi ya Moro milimani ya kilosa kula kwa ka budi 😅😅😅 asubuhi mchana jionj bange kwa uhuru kabisa maana hakuna askari anaweza panda kule
 
Maldives!

Wakuu kwema? Hivi inachukua mda gani bangi kuondoka kwenye ubongo wa binadamu mpaka urudi kuwa normal?

Yani naongelea ile full Cannabinoid detoxification. Yani mpaka pale Neurones zirudi kwenye hali ya kabla hazijawa stimulated na CBD ya bangi?

Nlkuwa napiga dozi kwa siku mara 3, ila nmeacha Nipo mwezi wa 2 huu. Nataka kujua ni lini effects zote ztakuwa zimeisha.

Bangi iheshimiwe tafadhali
 
Back
Top Bottom