Bangi hutumia muda gani kutoka kwenye akili?

Bangi hutumia muda gani kutoka kwenye akili?

Basi endelea kuvuta... au fanya meditation it seems ulikuwa bora kuliko hivi sasa....

Caution: Drug Abuse haifai, itaku-abuse wewe...
ilikuwa hivi kipindi navuta once a day, sasa ile hali ikaanza kupungua nikivuta once so nikaanza twice ikaeenda mpaka nikazoea ten ikawa mara 3 ikaeenda mpaka nikazoea..Sasa ikaja mpaka mara 4 nayo nkazoea...nkaona hapa dawa ni kuiondoa kwanza kwenye system nianze upya kwa kubalance mizan iwe mara moja kwa wiki ili isiwe too much.

Ndo nmemaliza hapa miezi miwili na sehemu sijavuta.
Najiuliza kma itakuwa safe kurudi sasa au nisubirie tena.

Au mkuu unanishauri nitumie formula ipi?
 
Nimepiga sana bangi ya Moro milimani ya kilosa kula kwa ka budi 😅😅😅 asubuhi mchana jionj bange kwa uhuru kabisa maana hakuna askari anaweza panda kule
Safi Sana.

Mwalimu wetu wa maths alikuwa akitumia kitu Cha milimani,Kisha akaingia class kusimamia mtihani ilikuwa raha Sana. Akipiga anakuwa Hana muda na mtu,we igilizia majibu,ingia na kibomu sawa tu. Ilikuwa balaa Sana wakati ule..
 
Kipimo...ulaze mwili kwenye kochi/kitanda(chali) mpaka shingoni halafu kichwa kiwe kinaning`inia chini kama dakk 1 halafu nyanyuka...usipoona wenge ujue umepona
Aahahha mzee hiyo mimi lazima nione wenge hata kipindi sijaanza bangi
 
Kipimo...ulaze mwili kwenye kochi/kitanda(chali) mpaka shingoni halafu kichwa kiwe kinaning`inia chini kama dakk 1 halafu nyanyuka...usipoona wenge ujue umepona
Nimecheka Sana. Bangi asee Ni kiboko yao.

Jamaa alivuta kitu,basi akaanza kuwauliza washikaji "oya nahisi mdomo mzito balaa,unataka kuanguka Nini? "Wahuni wakamwambia mbona mdomo wa kawaida tu bablai.
 
ilikuwa hivi kipindi navuta once a day, sasa ile hali ikaanza kupungua nikivuta once so nikaanza twice ikaeenda mpaka nikazoea ten ikawa mara 3 ikaeenda mpaka nikazoea..Sasa ikaja mpaka mara 4 nayo nkazoea...
Find another motivation addiction sio nzuri.., unaweza ukajifunza meditation, tuliza akili sidhani kama akili ya kuhoji na fikra ilisababishwa na Bangi bali ni kwamba ila bangi ilikufanya uwe calm na ku-think straight tafuta kitu kingine cha kukufanya hivyo ambacho sio addictive au chenye effect kwa afya
 
Puff moja miaka saba.
Assume msokoto mmoja ni puff 5,
5×7=35, na umevuta misokoto zaidi ya 100 mpaka sasa..

Piga hesabu hapo.
 
Find another motivation addiction sio nzuri.., unaweza ukajifunza meditation, tuliza akili sidhani kama akili ya kuhoji na fikra ilisababishwa na Bangi bali ni kwamba ila bangi ilikufanya uwe calm na ku-think straight tafuta kitu kingine cha kukufanya hivyo ambacho sio addictive au chenye effect kwa afya
Mbona wanasema bangi sio addictive na haina madhara ya afya.
Ingekuwa addictive ningeweza kutoka ghafla from 5 times a day mpaka 0 times for 70 days?

Meditation najifunzia wapi? Nilishawaza hili ndomaana niliandika huu uzi
 
Addiction ni kutegemea kitu fulani ili uweze kufanya kitu fulani..., sasa wewe kama huwezi kufikiri efficiently mpaka ustue kidogo tayari hio ni addiction...

kuhusu afya... kila kitu kikizidi ni sumu hata maji...
Marijuana over activates parts of the brain that contain the highest number of these receptors. This causes the "high" that people feel. Other effects include:

  • altered senses (for example, seeing brighter colors)
  • altered sense of time
  • changes in mood
  • impaired body movement
  • difficulty with thinking and problem-solving
  • impaired memory
  • hallucinations (when taken in high doses)
  • delusions (when taken in high doses)
  • psychosis (risk is highest with regular use of high potency marijuana)
 
Vipi hiyo meditation najifunzia wqpi?

Sio kwamba nisipotumia sifikirii efficiently..Nafikiria kawaida tu na Nakuwa average au hata above average kwa wengine.
Laikini nikismoke inaenda Einstein Level, yani sio kawaida kabisa hata mimi najishangaa.

Ubaya wa Marijuana hakuna Research za kutosha ndomaana kuna articles kibao zinazipangana kuhusu madhara/faida zake, labda inategemeana mtu na mtu.
 
Vipi hiyo meditation najifunzia wqpi?
kuna online guidance nyingi sana, uzuri siku hizi ni information at your fingertips...
Sio kwamba nisipotumia sifikirii efficiently..Nafikiria kawaida tu na Nakuwa average au hata above average kwa wengine.
Laikini nikismoke inaenda Einstein Level, yani sio kawaida kabisa hata mimi najishangaa.
Duh vipi kwenye ubora wako uliweza kushuka theory gani ?, unaweza ukatushirikisha hapa moja au mbili..., au uliweza ku-solve kitu gani, au how deep uliweza kwenda....

Hata mimi sometimes huwa najiuliza maswali ambayo kwa layman yanaweza kuonekana ni ya kawaida ila ukienda deep ni kama kuipa mazoezi mind yako..., mfano naweza kujiuliza kwanini maji ni maji....
 
Back
Top Bottom