February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Hii Ni sigara. Yeye anaongelea bangi.Ni siku 40 tu.
Ngoja waje.Hii Ni sigara. Yeye anaongelea bangi.
Dah sas mimi nataka kujidisintergrate nayoWatakudanganya Mwanetu
Watakuletea story za watu ilhali wao hawaja experience Hiyo KITU na walio experience hawajui.
Banghi na wewe vishakuwa Integrated 😎
Ni salamu huku kwetu BahamasMkuu Hilo neno hapo juu Maldives umemaanisha nini? Then nitarudi kuchangia uzi wa bangi
Ahaa, basi ntakua safeNi siku 40 tu.
Hii ni ya Tabora, yenyewe vipi?Kumbe hadi bangi ina CBD(central business district) Kama posta? Basi ni hatari Sana.
Kuhusu inakaa muda gani kichwani Hadi kuisha,Kikubwa inategemea umevuta bangi ya wapi...
Kipindi navuta kila siku nlkuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa, hata kitu kidogo nataka nikichimbe kwa undani sana.Akili yako ya kawaida ilikuwa vipi na akili yako ya sasa ipo vipi ?
Nadhani wewe ndio practically unaweza ukatoa majibu...
How Long Does Weed (Marijuana) Stay in Your System?
The length of time weed stays in your system varies according to use. Here’s how long it’s detectable in different drug tests using blood, saliva, urine, and hair.www.healthline.com
Aahahahh dah kama ni kweli mbona kazi ipoStory za zamani inakaa miaka 7 teh teh
Basi endelea kuvuta... au fanya meditation it seems ulikuwa bora kuliko hivi sasa....Kipindi navuta kila siku nlkuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa, hata kitu kidogo nataka nikichimbe kwa undani sana.
Saivi naona hiyo hali imepungua.
Ya Tabora siyo Kali Sana,inawahi kutoka kichwani,siku 160 tu unakuwa Safi kabisa kichwani,kichwa kinakuwa sawa.Hii ni ya Tabora, yenyewe vipi?
Nimepiga sana bangi ya Moro milimani ya kilosa kula kwa ka budi 😅😅😅 asubuhi mchana jionj bange kwa uhuru kabisa maana hakuna askari anaweza panda kuleKumbe hadi bangi ina CBD(central business district) Kama posta? Basi ni hatari Sana.
Kuhusu inakaa muda gani kichwani Hadi kuisha,Kikubwa inategemea umevuta bangi ya wapi...
Maldives!
Wakuu kwema? Hivi inachukua mda gani bangi kuondoka kwenye ubongo wa binadamu mpaka urudi kuwa normal?
Yani naongelea ile full Cannabinoid detoxification. Yani mpaka pale Neurones zirudi kwenye hali ya kabla hazijawa stimulated na CBD ya bangi?
Nlkuwa napiga dozi kwa siku mara 3, ila nmeacha Nipo mwezi wa 2 huu. Nataka kujua ni lini effects zote ztakuwa zimeisha.