February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
- Thread starter
-
- #21
ilikuwa hivi kipindi navuta once a day, sasa ile hali ikaanza kupungua nikivuta once so nikaanza twice ikaeenda mpaka nikazoea ten ikawa mara 3 ikaeenda mpaka nikazoea..Sasa ikaja mpaka mara 4 nayo nkazoea...nkaona hapa dawa ni kuiondoa kwanza kwenye system nianze upya kwa kubalance mizan iwe mara moja kwa wiki ili isiwe too much.Basi endelea kuvuta... au fanya meditation it seems ulikuwa bora kuliko hivi sasa....
Caution: Drug Abuse haifai, itaku-abuse wewe...
Safi Sana.Nimepiga sana bangi ya Moro milimani ya kilosa kula kwa ka budi 😅😅😅 asubuhi mchana jionj bange kwa uhuru kabisa maana hakuna askari anaweza panda kule
Ahaa, ngoja basi niendelee kusubiri maana npo siku ya 70Ya Tabora siyo Kali Sana,inawahi kutoka kichwani,siku 160 tu unakuwa Safi kabisa kichwani,kichwa kinakuwa sawa.
Mziki ni hizo tatu nilizokutajia. Ya kimbiji,ya Arusha na ya Tarime.
Aahahha mzee hiyo mimi lazima nione wenge hata kipindi sijaanza bangiKipimo...ulaze mwili kwenye kochi/kitanda(chali) mpaka shingoni halafu kichwa kiwe kinaning`inia chini kama dakk 1 halafu nyanyuka...usipoona wenge ujue umepona
Na watu wote Amina.Bangi iheshimiwe tafadhali
Nimecheka Sana. Bangi asee Ni kiboko yao.Kipimo...ulaze mwili kwenye kochi/kitanda(chali) mpaka shingoni halafu kichwa kiwe kinaning`inia chini kama dakk 1 halafu nyanyuka...usipoona wenge ujue umepona
Find another motivation addiction sio nzuri.., unaweza ukajifunza meditation, tuliza akili sidhani kama akili ya kuhoji na fikra ilisababishwa na Bangi bali ni kwamba ila bangi ilikufanya uwe calm na ku-think straight tafuta kitu kingine cha kukufanya hivyo ambacho sio addictive au chenye effect kwa afyailikuwa hivi kipindi navuta once a day, sasa ile hali ikaanza kupungua nikivuta once so nikaanza twice ikaeenda mpaka nikazoea ten ikawa mara 3 ikaeenda mpaka nikazoea..Sasa ikaja mpaka mara 4 nayo nkazoea...
Sigara sumu inatoka mwilini siku 40 tu? Kirahisi hivyo?
Source tafadhali.Puff moja miaka saba.
Assume msokoto mmoja ni puff 5,
5×7=35, na umevuta misokoto zaidi ya 100 mpaka sasa..
Piga hesabu hapo.
Ukipiga mtindi na tangawizi ile kali kwa wingi kifua lazima kiachie...Sigara sumu inatoka mwilini siku 40 tu? Kirahisi hivyo?
Mbona wanasema bangi sio addictive na haina madhara ya afya.Find another motivation addiction sio nzuri.., unaweza ukajifunza meditation, tuliza akili sidhani kama akili ya kuhoji na fikra ilisababishwa na Bangi bali ni kwamba ila bangi ilikufanya uwe calm na ku-think straight tafuta kitu kingine cha kukufanya hivyo ambacho sio addictive au chenye effect kwa afya
Watu hawajui sigara ni sumu kuliko bangi..Na hawajui pombe ni worse kuliko bangiSigara sumu inatoka mwilini siku 40 tu? Kirahisi hivyo?
Addiction ni kutegemea kitu fulani ili uweze kufanya kitu fulani..., sasa wewe kama huwezi kufikiri efficiently mpaka ustue kidogo tayari hio ni addiction...Mbona wanasema bangi sio addictive na haina madhara ya afya.
Ingekuwa addictive ningeweza kutoka ghafla from 5 times a day mpaka 0 times for 70 days?
Meditation najifunzia wapi? Nilishawaza hili ndomaana niliandika huu uzi
Someone Buddhify me
Hello, Nataka kuwa buddhist, nataka nifanye zile meditation kama monk niweze kuumasta huu mwili na hii akili. I beleive in Buddha, natafuta temple kwa Bukoba, Mwanza au Mara. Someone please buddhify me.www.jamiiforums.com
Vipi hiyo meditation najifunzia wqpi?Addiction ni kutegemea kitu fulani ili uweze kufanya kitu fulani..., sasa wewe kama huwezi kufikiri efficiently mpaka ustue kidogo tayari hio ni addiction...
kuhusu afya... kila kitu kikizidi ni sumu hata maji...
Marijuana over activates parts of the brain that contain the highest number of these receptors. This causes the "high" that people feel. Other effects include:
- altered senses (for example, seeing brighter colors)
- altered sense of time
- changes in mood
- impaired body movement
- difficulty with thinking and problem-solving
- impaired memory
- hallucinations (when taken in high doses)
- delusions (when taken in high doses)
- psychosis (risk is highest with regular use of high potency marijuana)
Cannabis (Marijuana) | National Institute on Drug Abuse
Learn more about NIDA’s research on the health effects of cannabis.nida.nih.gov
MythNiliwahi sikia seven iyaz
kuna online guidance nyingi sana, uzuri siku hizi ni information at your fingertips...Vipi hiyo meditation najifunzia wqpi?
Duh vipi kwenye ubora wako uliweza kushuka theory gani ?, unaweza ukatushirikisha hapa moja au mbili..., au uliweza ku-solve kitu gani, au how deep uliweza kwenda....Sio kwamba nisipotumia sifikirii efficiently..Nafikiria kawaida tu na Nakuwa average au hata above average kwa wengine.
Laikini nikismoke inaenda Einstein Level, yani sio kawaida kabisa hata mimi najishangaa.
Vipi kuhusu sumu ya kwenye mapafu? Haiwezi ikatoka kwa kunywa tangawizi mkuuUkipiga mtindi na tangawizi ile kali kwa wingi kifua lazima kiachie...