msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Ni meru sio Arumeru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si rahisi maana huyu aliwekwa kuwakomoa Chadema. Alikuwa anaikandia CDM sana , kwa sauti kubwa na ikasikia, hivyo akapewa zawadi! Hakuwekwa kwa vile anajua kazi , (wapi na wapi Muro ka kazi za utawala). He will be maintained there because he is a great enemy of CDM! johnthebaptistWakati Rais Magifuli akiwa anawaapisha Wakuu wa Wilaya, Mikoa na Wakurugenzi wapya leo katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, ameoneshwa kutoridhishwa na utendaji kazi wa vyombo vya usalama wilayani Arumeru.
Hii ni kufuatia Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Madawa ya Kulevya kutoka Makao Makuu Dodoma na kwenda Arumeru kuendesha msako wa kukamata dawa za kulevya aina ya Bangi, ambapo alifanikiwa kukamata shehena ya madawa hayo.
Hali imepelekea Rais kumuagiza IGP, kuwatumbua OCD na OCCID wa Arumeru kutokana na uzembe na kutoridhishwa na utendaji kazi wao. Pia Rais amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa TISS, kumuondoa DSO wa Arumeru kwa uzembe huo.
Kufuatia baadhi ya wajumbe hao wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Arumeru kuondolewa, Meenyekiti wao ambaye ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Jerry Muro ajiandae wakati wowote ule kwanzia sasa, anaweza akataumbuliwa.
Ukikna wenzako wananyolewa wewe tia maji!
Hapo ukiwa unashushia na kahawa burudani kabisaHivi jamani munausikia Muziki laini unaopigwa hapa ikulu!!!?...unasuuza nafsi tukijiburudisha kwa vinywaj na vitafunwa...
Kwa kifupi kituo Cha polisi meru kilipi USA river kinatakiwa kisafishwe chote na kuleta Askari wapya.trafic ni shida,wapelelexi ni shida.viongozi ni shidaRais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais Magufuli amesema haya...
“Nimekuona jana au juzi ulikagua kijiji kwa kijiji na kukuta gunia za Bangi, sasa IGP nataka mkuu wa Polisi wa Meru aondolewe, DSO wa Meru aondoke, maana yake hawakutimiza wajibu wao, haiwezekani mtu atoke Dar aende akakamate Bangi Meru wakati wao wapo”
OCCID wote watoke, ikiwezekana washushwe cheo maana hatuwezi kwenda kwenye utaratibu huo. Na wewe wa Kitengo cha Madawa nakuthibitisha leo
Pia, Rais Magufuli amemthibitisha Kaimu Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, James Kaji, kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo, leo Julai 06, 2020.
Huyu Kamishna wa Madawa ya Kulevya siwezi nikamuapisha hapahapa?, tengenezeni kiapo haraka mkimaliza nimuapishe sitaki kurudi tena hapa
Sasa huyo Mkurugenzi wa Kitengo cha Kuzuia madawa ya kulevya amewezaje kufika eneo lenye bangi bila kuonyeshwa na viongozi au watumishi wa wilaya husika? Mfano mimi nitoke huku niliko niende kwenye misitu ya SAO HILL mpaka sehemu yenye bangi bila ya "hint" ya watu wa pale SAO HILL?Wakati Rais Magifuli akiwa anawaapisha Wakuu wa Wilaya, Mikoa na Wakurugenzi wapya leo katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, ameoneshwa kutoridhishwa na utendaji kazi wa vyombo vya usalama wilayani Arumeru.
Hii ni kufuatia Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Madawa ya Kulevya kutoka Makao Makuu Dodoma na kwenda Arumeru kuendesha msako wa kukamata dawa za kulevya aina ya Bangi, ambapo alifanikiwa kukamata shehena ya madawa hayo.
Hali imepelekea Rais kumuagiza IGP, kuwatumbua OCD na OCCID wa Arumeru kutokana na uzembe na kutoridhishwa na utendaji kazi wao. Pia Rais amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa TISS, kumuondoa DSO wa Arumeru kwa uzembe huo.
Kufuatia baadhi ya wajumbe hao wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Arumeru kuondolewa, Meenyekiti wao ambaye ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Jerry Muro ajiandae wakati wowote ule kwanzia sasa, anaweza akataumbuliwa.
Ukikna wenzako wananyolewa wewe tia maji!
Ni meru sio Arumeru
Hahahaaaa........ Muro bado yupo yupo sana!Si rahisi maana huyu aliwekwa kuwakomoa Chadema. Alikuwa anaikandia CDM sana , kwa sauti kubwa na ikasikia, hivyo akapewa zawadi! Hakuwekwa kwa vile anajua kazi , (wapi na wapi Muro ka kazi za utawala). He will be maintained there because he is a great enemy of CDM! johnthebaptist
Waanaambiwa wawe bize na kazi za kuisaidia CCM kubaki madarakani, huku majukumu yao ya kimsingi wakikosa muda wakuyashughulikia.Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais Magufuli amesema haya...
“Nimekuona jana au juzi ulikagua kijiji kwa kijiji na kukuta gunia za Bangi, sasa IGP nataka mkuu wa Polisi wa Meru aondolewe, DSO wa Meru aondoke, maana yake hawakutimiza wajibu wao, haiwezekani mtu atoke Dar aende akakamate Bangi Meru wakati wao wapo”
OCCID wote watoke, ikiwezekana washushwe cheo maana hatuwezi kwenda kwenye utaratibu huo. Na wewe wa Kitengo cha Madawa nakuthibitisha leo
Pia, Rais Magufuli amemthibitisha Kaimu Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, James Kaji, kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo, leo Julai 06, 2020.
Huyu Kamishna wa Madawa ya Kulevya siwezi nikamuapisha hapahapa?, tengenezeni kiapo haraka mkimaliza nimuapishe sitaki kurudi tena hapa
... kwani kuna Arumeru na Meru? Formally Arumeru nowadays Meru.Huyo mkuu wa wilaya anaitwa Nani? Au ulikua unadhani ni JERRY MURO wa Arumeru?
Vyote sawa, hakuna OCD wa Meru ila kuna OCD wa Arumeru
Iwe tu kanda maalum kama Rorya, ndiyo kweli kutakuwepo na matokeo chanya kiasi fulani..Kisimiri na orkokola ni pagumu sana sana...labda waweke kambi kabisa huko. Raia wa kule sio wa kitoto.
Sasa itabidi waTz tuwe na tabia yakulindana. Ukienda kwenye eneo la mwenzako ukikuta kosa kabla hujareporty kwa wakubwa, muite anayesimamia hilo eneo. Mwambie katika eneo lako kuna mambo 1 2 3 yarekebishe.Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais Magufuli amesema haya...
“Nimekuona jana au juzi ulikagua kijiji kwa kijiji na kukuta gunia za Bangi, sasa IGP nataka mkuu wa Polisi wa Meru aondolewe, DSO wa Meru aondoke, maana yake hawakutimiza wajibu wao, haiwezekani mtu atoke Dar aende akakamate Bangi Meru wakati wao wapo”
OCCID wote watoke, ikiwezekana washushwe cheo maana hatuwezi kwenda kwenye utaratibu huo. Na wewe wa Kitengo cha Madawa nakuthibitisha leo
Pia, Rais Magufuli amemthibitisha Kaimu Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, James Kaji, kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo, leo Julai 06, 2020.
Huyu Kamishna wa Madawa ya Kulevya siwezi nikamuapisha hapahapa?, tengenezeni kiapo haraka mkimaliza nimuapishe sitaki kurudi tena hapa
Ila wakisikia Chadema wana kikao cha ndani utashangaa difenda zaidi ya kumi na zimejaa askari kuja kuzingira jengo wanalofanyia mkutano.Iwe tu kanda maalum kama Rorya, ndiyo kweli kutakuwepo na matokeo chanya kiasi fulani..
Polisi wenyewe hawa tukivamiwa magari yao hayana mafuta wanataka tulipie mafuta, leo watazurula kukamata bangi vijijini kwa bajeti ipi??
Everyday is Saturday........................ 😎
Unajuaje kuwa uyo Jerry ndo nyoka kawachongea wenzake unahis uyo kamishna kajipeleka tu uko bila kupewa info.Wakati Rais Magufuli akiwa anawaapisha Wakuu wa Wilaya, Mikoa na Wakurugenzi wapya leo katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, ameoneshwa kutoridhishwa na utendaji kazi wa vyombo vya usalama wilayani Arumeru.
Hii ni kufuatia Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Madawa ya Kulevya kutoka Makao Makuu Dodoma na kwenda Arumeru kuendesha msako wa kukamata dawa za kulevya aina ya Bangi, ambapo alifanikiwa kukamata shehena ya madawa hayo.
Hali imepelekea Rais kumuagiza IGP, kuwatumbua OCD na OCCID wa Arumeru kutokana na uzembe na kutoridhishwa na utendaji kazi wao. Pia Rais amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa TISS, kumuondoa DSO wa Arumeru kwa uzembe huo.
Kufuatia baadhi ya wajumbe hao wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Arumeru kuondolewa, Meenyekiti wao ambaye ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Jerry Muro ajiandae wakati wowote ule kwanzia sasa, anaweza akataumbuliwa.
Ukiona wenzako wananyolewa wewe tia maji!
Unakalia kiti t.ako moja..Vyeo awamu hii ni shida tupu!!
DG ana team yake ya inteligency probably ndio iliyo m leàd kufika hapo na iyo team inawezekana Haifanyi active duty apo meru au ilikuwa hapo kwa task hio tu walifanya undercover ukiona mpaka watu wanakuwa demoted ina maana kuna uzembe fulaniSasa huyo Mkurugenzi wa Kitengo cha Kuzuia madawa ya kulevya amewezaje kufika eneo lenye bangi bila kuonyeshwa na viongozi au watumishi wa wilaya husika? Mfano mimi nitoke huku niliko niende kwenye misitu ya SAO HILL mpaka sehemu yenye bangi bila ya "hint" ya watu wa pale SAO HILL?
Huenda "coverage" ya hiyo habari ililenga kumjenga zaidi Mkurugezi na kuwaacha viongozi / watumishi wa Wilaya nje ya "coverage"
Unajuaje kuwa uyo Jerry ndo nyoka kawachongea wenzake unahis uyo kamishna kajipeleka tu uko bila kupewa info.
Na Mkuu wa wilaya pia ni mmoja kwa wilaya zote mbili?