Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

Si rahisi maana huyu aliwekwa kuwakomoa Chadema. Alikuwa anaikandia CDM sana , kwa sauti kubwa na ikasikia, hivyo akapewa zawadi! Hakuwekwa kwa vile anajua kazi , (wapi na wapi Muro ka kazi za utawala). He will be maintained there because he is a great enemy of CDM! johnthebaptist
 
Kwa kifupi kituo Cha polisi meru kilipi USA river kinatakiwa kisafishwe chote na kuleta Askari wapya.trafic ni shida,wapelelexi ni shida.viongozi ni shida
 
Sasa huyo Mkurugenzi wa Kitengo cha Kuzuia madawa ya kulevya amewezaje kufika eneo lenye bangi bila kuonyeshwa na viongozi au watumishi wa wilaya husika? Mfano mimi nitoke huku niliko niende kwenye misitu ya SAO HILL mpaka sehemu yenye bangi bila ya "hint" ya watu wa pale SAO HILL?

Huenda "coverage" ya hiyo habari ililenga kumjenga zaidi Mkurugezi na kuwaacha viongozi / watumishi wa Wilaya nje ya "coverage"
 
Hahahaaaa........ Muro bado yupo yupo sana!
 
Waanaambiwa wawe bize na kazi za kuisaidia CCM kubaki madarakani, huku majukumu yao ya kimsingi wakikosa muda wakuyashughulikia.

Mwishowe anawaambia wameshindwa kazi!!
 
Kisimiri na orkokola ni pagumu sana sana...labda waweke kambi kabisa huko. Raia wa kule sio wa kitoto.
Iwe tu kanda maalum kama Rorya, ndiyo kweli kutakuwepo na matokeo chanya kiasi fulani..

Polisi wenyewe hawa tukivamiwa magari yao hayana mafuta wanataka tulipie mafuta, leo watazurula kukamata bangi vijijini kwa bajeti ipi??

Everyday is Saturday........................ 😎
 
Sasa itabidi waTz tuwe na tabia yakulindana. Ukienda kwenye eneo la mwenzako ukikuta kosa kabla hujareporty kwa wakubwa, muite anayesimamia hilo eneo. Mwambie katika eneo lako kuna mambo 1 2 3 yarekebishe.
Maana mtatumbuliwa mpaka lini??? Sasa hivi ukipewa cheo unakaa mguu mmoja ndani mwingine nje
 
Ila wakisikia Chadema wana kikao cha ndani utashangaa difenda zaidi ya kumi na zimejaa askari kuja kuzingira jengo wanalofanyia mkutano.
 
Unajuaje kuwa uyo Jerry ndo nyoka kawachongea wenzake unahis uyo kamishna kajipeleka tu uko bila kupewa info.
 
DG ana team yake ya inteligency probably ndio iliyo m leàd kufika hapo na iyo team inawezekana Haifanyi active duty apo meru au ilikuwa hapo kwa task hio tu walifanya undercover ukiona mpaka watu wanakuwa demoted ina maana kuna uzembe fulani
Siasa zipo kweli ila katika hilo naamini Rais yupo well informed mpaka kufanya ayo maamuzi,,BTW Arusha pameoza sana kuna Tabia ya kulea ujinga Na watu kujifanya hawana uoga na mamlaka Huko Meru kuna uchafu mwingi hata umeme wana iba sana uko na Tanesco wakiwa na operations huchukua mpaka police mana wameru wanajikuta aggressive sana hao dawa yao nikupata mtu ambae atawambia nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe ukicheka nao unavuna mabua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…