Kwa hiyo kitengo kina watumishi mpaka "under ground"? kwanini isiwe walipewa mchongo na usalama wa Taifa?DG ana team yake ya inteligency probably ndio iliyo m leàd kufika hapo na iyo team inawezekana Haifanyi active duty apo meru au ilikuwa hapo kwa task hio tu walifanya undercover ukiona mpaka watu wanakuwa demoted ina maana kuna uzembe fulani
...🙄🙄🙄...Hata DC naye angepigwa chini yeye ana kazi ya kushabikia Yanga huku watu wanateketea kwa bangi.
Hivi ofisi nyeti kama iyo itakosaje undercover?Kwa hiyo kitengo kina watumishi mpaka "under ground"? kwanini isiwe walipewa mchongo na usalama wa Taifa?
Apigwe chini huyo aje abishane na De la bossWakati Rais Magufuli akiwa anawaapisha Wakuu wa Wilaya, Mikoa na Wakurugenzi wapya leo katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, ameoneshwa kutoridhishwa na utendaji kazi wa vyombo vya usalama wilayani Arumeru.
Hii ni kufuatia Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Madawa ya Kulevya kutoka Makao Makuu Dodoma na kwenda Arumeru kuendesha msako wa kukamata dawa za kulevya aina ya Bangi, ambapo alifanikiwa kukamata shehena ya madawa hayo.
Hali imepelekea Rais kumuagiza IGP, kuwatumbua OCD na OCCID wa Arumeru kutokana na uzembe na kutoridhishwa na utendaji kazi wao. Pia Rais amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa TISS, kumuondoa DSO wa Arumeru kwa uzembe huo.
Kufuatia baadhi ya wajumbe hao wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Arumeru kuondolewa, Meenyekiti wao ambaye ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Jerry Muro ajiandae wakati wowote ule kwanzia sasa, anaweza akataumbuliwa.
Ukiona wenzako wananyolewa wewe tia maji!
Bange sijui imewakosea nini..daah!☹☹Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais Magufuli amesema haya...
“Nimekuona jana au juzi ulikagua kijiji kwa kijiji na kukuta gunia za Bangi, sasa IGP nataka mkuu wa Polisi wa Meru aondolewe, DSO wa Meru aondoke, maana yake hawakutimiza wajibu wao, haiwezekani mtu atoke Dar aende akakamate Bangi Meru wakati wao wapo”
OCCID wote watoke, ikiwezekana washushwe cheo maana hatuwezi kwenda kwenye utaratibu huo. Na wewe wa Kitengo cha Madawa nakuthibitisha leo
Pia, Rais Magufuli amemthibitisha Kaimu Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, James Kaji, kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo, leo Julai 06, 2020.
Huyu Kamishna wa Madawa ya Kulevya siwezi nikamuapisha hapahapa?, tengenezeni kiapo haraka mkimaliza nimuapishe sitaki kurudi tena hapa
Rais Magufuli akimuapisha James Wilbert kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini.
Tukilindana umma utanufaika nini? Kila mtendaji afanye kazi angalau kwa wajibu wake. Haina maana ya kuwa mtendaji na eneo lako la kazi limetawaliwa na madhaifu. Ni aidha hautoshi (incapable) ama hauna msukumo wa kutosha. Sasa atakayekutonya hapo si atakuwa adui wa maendeleo?Sasa itabidi waTz tuwe na tabia yakulindana. Ukienda kwenye eneo la mwenzako ukikuta kosa kabla hujareporty kwa wakubwa, muite anayesimamia hilo eneo. Mwambie katika eneo lako kuna mambo 1 2 3 yarekebishe.
Maana mtatumbuliwa mpaka lini??? Sasa hivi ukipewa cheo unakaa mguu mmoja ndani mwingine nje
Huyo jamaa anafananisha Meru na Arumeru
Bangi haijawahi mteketeza mtu labda iwe imechanganywa na vitu vya kijinga. Ligeuzwe kuwa zao la kibisharaHata DC naye angepigwa chini yeye ana kazi ya kushabikia Yanga huku watu wanateketea kwa bangi.
Jamani nisaidieni kwani SIANG'A amestaafu au kibarua kimeota nyasiRais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais Magufuli amesema haya...
“Nimekuona jana au juzi ulikagua kijiji kwa kijiji na kukuta gunia za Bangi, sasa IGP nataka mkuu wa Polisi wa Meru aondolewe, DSO wa Meru aondoke, maana yake hawakutimiza wajibu wao, haiwezekani mtu atoke Dar aende akakamate Bangi Meru wakati wao wapo”
OCCID wote watoke, ikiwezekana washushwe cheo maana hatuwezi kwenda kwenye utaratibu huo. Na wewe wa Kitengo cha Madawa nakuthibitisha leo
Pia, Rais Magufuli amemthibitisha Kaimu Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, James Kaji, kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo, leo Julai 06, 2020.
Huyu Kamishna wa Madawa ya Kulevya siwezi nikamuapisha hapahapa?, tengenezeni kiapo haraka mkimaliza nimuapishe sitaki kurudi tena hapa
Rais Magufuli akimuapisha James Wilbert kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini.
Huko alipo atakuwa anatetemeka kwa hofu, kasahaulikajeRais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais Magufuli amesema haya...
“Nimekuona jana au juzi ulikagua kijiji kwa kijiji na kukuta gunia za Bangi, sasa IGP nataka mkuu wa Polisi wa Meru aondolewe, DSO wa Meru aondoke, maana yake hawakutimiza wajibu wao, haiwezekani mtu atoke Dar aende akakamate Bangi Meru wakati wao wapo”
OCCID wote watoke, ikiwezekana washushwe cheo maana hatuwezi kwenda kwenye utaratibu huo. Na wewe wa Kitengo cha Madawa nakuthibitisha leo
Pia, Rais Magufuli amemthibitisha Kaimu Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, James Kaji, kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo, leo Julai 06, 2020.
Huyu Kamishna wa Madawa ya Kulevya siwezi nikamuapisha hapahapa?, tengenezeni kiapo haraka mkimaliza nimuapishe sitaki kurudi tena hapa
Rais Magufuli akimuapisha James Wilbert kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini.
Aisee hata mimi hili swali lako linanisumbua, hatuna taarifa zake, na alifanya kazi kubwa sana huyu mzeeJamani nisaidieni kwani SIANG'A amestaafu au kibarua kimeota nyasi
Kwa kweli sasa nashangaa ana apishwa general mwingineAisee hata mimi hili swali lako linanisumbua, hatuna taarifa zake, na alifanya kazi kubwa sana huyu mzee
Huyu ni nyoka wa Bashite hawezi guswaHata DC naye angepigwa chini yeye ana kazi ya kushabikia Yanga huku watu wanateketea kwa bangi.
Kwa hiyo wale tuliokuwa na tumaini LA kilimo cha bangi kuhalalishwa ili tupige hela awamu hii ndio tushaumizwa hivyo!?Naona Kaji kawa Kamishina mkuu wa taasisi ya kupambana na dawa za kulevya..
Magunia ya bangi yamempa credit, pole kwa DSO na OCD...
Hongera Mh. James Kaji hakika kazi yako imeonekana tangu upewe hicho kiti..
SureSi rahisi maana huyu aliwekwa kuwakomoa Chadema. Alikuwa anaikandia CDM sana , kwa sauti kubwa na ikasikia, hivyo akapewa zawadi! Hakuwekwa kwa vile anajua kazi , (wapi na wapi Muro ka kazi za utawala). He will be maintained there because he is a great enemy of CDM! johnthebaptist