Prof Phraoh AI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,269
- 2,311
Wewe endelea kuvuta tu ikubangue. Kwanini unataka na sisi tuathirike?View attachment 3283893
Kwa maelfu ya miaka, bangi imekuwa dawa kuu kwa binadamu, lakini sheria ziliharibu yote.
Imetumika kama dawa ya maumivu kwa miaka 12,000—kutoka Misri ya kale hadi China. Warumi walitegemea pia, na hadi miaka ya 1900, ilikuwa dawa ya maumivu inayotumiwa zaidi ulimwenguni.
Lakini mwaka 1961, UN iliiorodhesha kama dawa hatari sawa na heroini, na kusababisha utafiti wake kuzuiwa.
Sasa mambo yanabadilika!
Tafiti za kisasa zinaonyesha kuwa bangi ni mbadala mzuri wa dawa za maumivu, inapunguza utegemezi wa dawa hatari na haina hatari ya kuzidisha kipimo hadi kufa, tofauti na opioids.
Soma zaidi:
🔗 Chanzo 1
🔗 Chanzo 2
Kabisa nilikuwa nikivuta naona wenge kama kila mtu ananisema hivibangi ni catalyst ya magonjwa ya akili yaliyojificha.
na likapona ?Kuna mahali nilienda nikakuta bint wa miaka kama sita sikio linatoa uchafu na usaa bibi yake alichukua majan ya bangi akawa amemuweka kwenye sikio😳
hata pombe pia ila pombe haikatazwibangi ni catalyst ya magonjwa ya akili yaliyojificha.
Kuna kijana aliimba hivi huu mwanzo wa mwezi wa tatu hapa kijijini bangi nibangue nataka niueee ndio kuchinja yule mtoto kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili kama ulisikia hii habaribangi nibangue nikapalilie shamba langu heka tatu mpaka liishe leoleo na niweke na mbolea
chini ya miaka 18 stay away from bangi nibangue
Broo punguza kutumia hiyo kitu, unaishi maisha magumu sana, ikiwezekana piga Mara moja Kwa siku.The only thing I hate about it is how it messes up with my appetite, nisipotumia kula nalazimisha sana.
hahahaKabisa nilikuwa nikivuta naona wenge kama kila mtu ananisema hivi
Aiseh bangi haina faida kama vile watu wanasifia
Bangi ni mmojawapo wa mimea mitakatifu. Usiitumie wakati una kisirani - hususan kisirani (jambo ovu) kile cha kujinenea.View attachment 3283893