Aisee kumbe umewahi kuvuta bangi hongera sana kumbe Msukuma ana wafuasi wengiBangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
Bangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
Zenji siku hizi kuna kashata za bangi, yaani hadi raha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Magufuli weka grease kidogo, vijana wanaongelea bangi kama vile ni sawa na kutafuta chewing gum.
Nataka hizo..seriouslyZenji siku hizi kuna kashata za bangi, yaani hadi raha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hahahahaaaaaaa,,,,,,Zenji siku hizi kuna kashata za bangi, yaani hadi raha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
You won't regret..trust me, ila kichwa chako kiwe kizuri.Me natamani Siku moja Nijaribu kuvuta hii kitu nijue inafananaje....
Me natamani Siku moja Nijaribu kuvuta hii kitu nijue inafananaje....
Dah itabidi Nimwambie hubby asitoke Siku hiyo ili nikianza kuwa kichaa anidhibitiYou won't regret..trust me, ila kichwa chako kiwe kizuri.
Njoo kibitiUko wapi mkuu tuwe tunavuta wote!??
Njoo kibiti
Ok, siku nikienda nitakuchukulia. Shem wangu mmoja hivi kuna siku alikatisha pande flani, akakuta kashata bila kujua kuwa ndio za bangi akanunua na kuzila akiwa na mwenziwe, [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] umaambiwa walilazwa hospitali siku3 wakiwa hawana fahamu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Nataka hizo..seriously
Nataka hizo..seriously