Sina hakika san kama kweli inawasiadia masomoni kwani wewe sio mtu wa kwanza kukusikia usema hayo , kuna janaa na mimi nilipiga naye chuo fulani , jamaa alikuwa kabla yakuingia kwenye pindi kwanza anakwenda kupuliza msuba wake , alafu anaingia class, offcourse jamaa tulimuaminia sana kwenye masomo na baadhi ya maswali tulikuwa tuna solve naye yeye kama kiongozi wa group discussion ,
Japo sometimes alikuwa kama zezeta hivi akitoka kupuliza ganja zake, ila sasa kwenye paper akanguka vibaya sana,
Wengie tukayenya kiaina
Kwahiyo wewe hadi sasa unafaidika nayo kwa sana ?