Bangi ni mbaya sana

Bangi ni mbaya sana

Bangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
Ganja sio
 
Ni kweli kabisa kwamba Uvutaji wa Bangi / Bange huwa ' unawadatisha ' Wavutaji hadi wanafanya mambo ya ajabu kabisa na ya Kustaajabisha ila sijawahi kuona mvutaji yoyote wa hiyo Kitu ' anadata ' halafu anaenda Kunya ( Wazaramo wanasema Kuukweka ) pale Getini Ikulu au Geti la Kuingia Lugalo au katika ngazi za Jengo la Central Police pale Stesheni. Nitashukuru nikijibiwa ni kwanini hao Wavutaji wote pamoja na ' Kudata ' Kwao kote kwa huo Ulaibu / Kilevi huwa wanakuwa na nidhamu na umakini wa hali ya juu katika hayo maeneo nyeti na muhimu niliyoyataja.
Haaahaaa sunajua kabla hujaivuta tayari akili inatambua kua haitakiwi au ni halam sasa hata ukisha ivuta inakukontrol sana ktk hilo wale wanao data inatakiwa aiache haimfai kwanza bange inahitaji uwe na lishe nzuri asa watu wengi wanao data unakuta hawana lishe asa uvute bangi afu lishe hakuna unatarajia nn, afu inahiyaji uivute ukiwa umetulia haupo kwenye msongamano
 
Mpulizo mmoja unakaa miaka saba kichwani.. Kwahyo ukipuliza siku moja hyo bangi itakaa kichwan kuanzia miaka saba nakuendelea.. Sasa ukiwa mpulizaji maana yake wewe ni kichwa bangi unafikili Kwa kutumia bangi n.k
 
Kwahiyo wewe brain yako iko suitable na ganja mkuu
Ofcoz nakumbuka hata pindi nipo chuo ilinisaidia sana ktk usomaji maake ilinipa uwezo wa kuelewa kitu mapema saana na nikisoma topic ina kaa fasta
 
Sina hakika san kama kweli inawasiadia masomoni kwani wewe sio mtu wa kwanza kukusikia usema hayo , kuna janaa na mimi nilipiga naye chuo fulani , jamaa alikuwa kabla yakuingia kwenye pindi kwanza anakwenda kupuliza msuba wake , alafu anaingia class, offcourse jamaa tulimuaminia sana kwenye masomo na baadhi ya maswali tulikuwa tuna solve naye yeye kama kiongozi wa group discussion ,

Japo sometimes alikuwa kama zezeta hivi akitoka kupuliza ganja zake, ila sasa kwenye paper akanguka vibaya sana,

Wengie tukayenya kiaina

Kwahiyo wewe hadi sasa unafaidika nayo kwa sana ?
 
Kwa saiz mazingira niliyo ni magum sana kuipata hata kuitumia pia ila inaonekana huyo jamaa kwenye pepar hakuitumia ndio maana alidunda na ukisha itumia kabla hujaenda kwenye pindi inatakiwa ipite nusu saa ndio ukapige pindi kiukweli inauwezo wake bangi sio siri sema nn inakufanya kua active balaa na akili inakua nauwezo wa kushika mambo haraka
 
Inawezekana, sasa wewe mazingiza gani yanakufanya ushindwe kupata dawa mkuu
 
Bangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
Aisee hii ki2 ni ya ajabu sana , sema inategemea na kichwa chako kilivyo , coz kikiwa chepes basi fikra zutashindwa kuzihimili na hatimae unafanya mambo ya ajabu
Ila kma ikikukubali(ukawa na kichwa kizuri) basi hii kitu itakupa full meditation na utaweza ku-achieve mambo mengi ambayo yanawashinda wengine wengu tuu!
Sema hii kitu inahitaji utulivu na haipendi kuchamganywa na vilev vingne ili ifanye kaz yake vizuri...
 
Mkuu upo sahihi kabisa na nahisi inafungua macho kuona mbali sema nn watu waitumia vibaya hata vichwa panzi wanaitumia ndio maana wengi waishia kuwa mateja na kufanya mambo mengine ya ajabu kikubwa inahitaji brain yako iwefit kuhimili mambo mengi inayo kuonesha
 
Sisi kwetu mboga majani yake na mbegu zake ni kiungo chake kwa ugari roho yako itasuzika
Mkuu umenikumbusha mbali sana[emoji38] [emoji38] kipindi bado nipo kijana unaambiwa siku moja tulipika bangi ya nazi tukala na ugali, unaambiwa kilichofatia hapo[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] tulilala tangu tumalize kula kwenye saa 9 mchana hadi siku ya pili asubuhi ndio tunashtuka[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kwani ngada ya kunusa na kujidunda ipi zaidi?
Inategemea na nia yako kama ni kwa starehe au mengine, ila kwa wewe kashata mbili tu chali[emoji23] [emoji23]
Mie bangi ngada huko sitojaribu kamwe ile ni kivi na haisaidii katika fikra pevu
 
Swali langu umelielewa? Ulisema jani la kuvuta pekee ndilo linalofungua akili, inamaana hizo kashata kwamba hamna kitu. Nimekuuliza kwani ngada ya kuvuta au kunusa ipi zaidi?
Sjawahi kula bange ila yakuvuta nishatumia so hiyo ya kashata mkuu naiman inaingia kwenye utumbo tu na ya kuvuta inapanda kichwan
 
Bangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
Bangi sio mbaya wala hakuna maruwe ruwe kama mnayodanganyana
 
Back
Top Bottom