Eng Hanscana La Cavella
Member
- Jan 15, 2018
- 79
- 65
We jamaa unaonekana mtoto sana.Sjawahi kula bange ila yakuvuta nishatumia so hiyo ya kashata mkuu naiman inaingia kwenye utumbo tu na ya kuvuta inapanda kichwan
Na bangi hauijui unaisikia tu tena si ajabu hata kuishika hujawahi.
Na kama umeshawahi basi walikuwa wanakuvutisha kinyesi na majani ya mpapai we ukidhani unavuta bangi