Gezuz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 1,010
- 1,349
Chunga sana unaeza jikuta unageuzwa chakula ya maselaMe natamani Siku moja Nijaribu kuvuta hii kitu nijue inafananaje....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chunga sana unaeza jikuta unageuzwa chakula ya maselaMe natamani Siku moja Nijaribu kuvuta hii kitu nijue inafananaje....
Sure mkuu, acha tu yaanMkuu, [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] Atiiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Acha uwongo ww kuwaongopea watu inakaa miaka yote hiyo inafanya nini kichwani kwan haina mambo mengine ya kufanya.Mpulizo mmoja unakaa miaka saba kichwani.. Kwahyo ukipuliza siku moja hyo bangi itakaa kichwan kuanzia miaka saba nakuendelea.. Sasa ukiwa mpulizaji maana yake wewe ni kichwa bangi unafikili Kwa kutumia bangi n.k
Bangi ni kitu Cha kawaida tu.. stimu yake ni kama sigara.. sema ukivuta kete nyingi afu ni siku yako ya Kwanza .. lazima ujione upo juu juu.
Khaaa! Ww jamaa umenifurahisha Sna mpk nimemwaga mbege yngu.Mi ganja sivuti tena nkivuta inanipa nidhamu ya woga kishenzi. Nlikua nimelala room mdogo wangu akajakunistua broo, nikajikuta nasema "shkamoo mama.."
Bro asikwambie mtu, magari ya Polisi kule yanazunguka tu, wakitimba maskani wanakuta wana wanakula kashata wanaishia zao. Sasa hapo watamkamata nani na kidhibiti nini?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaha we jamaa hatari sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu uliyovuta wewe inaonekana inamwaka wa pili sasaAcha uwongo ww kuwaongopea watu inakaa miaka yote hiyo inafanya nini kichwani kwan haina mambo mengine ya kufanya.
Hiyo mbona ipo mpaka baraZenji siku hizi kuna kashata za bangi, yaani hadi raha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Haahaaa kweli hata mm kwenye mwandiko wake nimegundua kitu,,, we nae mjanja kweli umewezaje kujua?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu uliyovuta wewe inaonekana inamwaka wa pili sasa
Umevuta mara ngapi?Bangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
Tena aanze mafuta ya breki ili kutoa kutu, halafu ndo grisi ifuate.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli weka grease kidogo, vijana wanaongelea bangi kama vile ni sawa na kutafuna chewing gum.
sio bhangi. ni kungu kwa ajili ya wanawake kurembuaOk, siku nikienda nitakuchukulia. Shem wangu mmoja hivi kuna siku alikatisha pande flani, akakuta kashata bila kujua kuwa ndio za bangi akanunua na kuzila akiwa na mwenziwe, [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] umaambiwa walilazwa hospitali siku3 wakiwa hawana fahamu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
.....Kijana wacha kulizushia jani lenye baraka utaranika.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu uliyovuta wewe inaonekana inamwaka wa pili sasa
Mkuu kwenye anga hizi mimi sio mshamba kivile. Nimesema kashata za bangi. Hayo ya kungu yametokea wapi? kuna uji wa kungu tena sio kungu tu bali inaitwa kungu manga. Huo uji wa kungu manga ndio huutumia wanawake kwa ajili ya muonekano sexy wa macho yao.sio bhangi. ni kungu kwa ajili ya wanawake kurembua
Ndio izo sasa wanatengenezea kashata ila wengi wanasema ni bhqngi. Anyway sio Ishu sana tunanadilishana uzoefu tuuMkuu kwenye anga hizi mimi sio mshamba kivile. Nimesema kashata za bangi. Hayo ya kungu yametokea wapi? kuna uji wa kungu tena sio kungu tu bali inaitwa kungu manga. Huo uji wa kungu manga ndio huutumia wanawake kwa ajili ya muonekano sexy wa macho yao.
Una maoni?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hata bongo zipo. Tena huku wana mpaka queen cake za weed.Zenji siku hizi kuna kashata za bangi, yaani hadi raha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jaribu wala haiko kama wanavyoisemaMe natamani Siku moja Nijaribu kuvuta hii kitu nijue inafananaje....