Bangi ni mbaya sana

Bangi ni mbaya sana

Mi ganja sivuti tena nkivuta inanipa nidhamu ya woga kishenzi. Nlikua nimelala room mdogo wangu akajakunistua broo, nikajikuta nasema "shkamoo mama.."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tulikaa sehemu na msanii fulani wa bongo flavour. Sasa mimi na rafiki angu bangi tunavuta tukiona basi akatupa tukavuta. Tukatoka hapo tulikua tunacheka njia nzima mpaka tunafika home. Kulala mwenzangu akajamba nilishtuka sikujua kama kajamba nilijua kumetokea shoti ya umeme ndani. Nikamuuliza L umesikia hii sauti iliyolia muda huu? Akajibu sauti gani. Nikamwambia humu ndani kumetokea shot ya umeme. Nikaanza chek kila kitu nimepanic balaa. Akasema kwani umesikia nini? Nikamjibu nimesikia kitu kimelia puuuuuuh. Akasema ni mimi nimejamba.tulicheka masaa mawili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nilipewa cake moja tu. Nilikula nikaumwa siwezi sahau. Watu walijua malaria imepanda kichwani ndo maana nalia na kutikisika kichwa kama nina mapepo. Halafu kwenda kupimwa nikakutwa na malaria mbili kweli bila kujua ni weed nililishwa.
Hahahahahahahaha naweza pata Wapi hizo cake
 
Nilikutana na rafiki angu club kabeba kama 6 hivi. Akaniambia chukua moja. Na mie kwa uroho nikachukua. Yaliyonikuta sasa. Nikasema ntavuta bangi yenyewe nione ikoje. Nikavuta nikaipenda kiukweli ila sigara sijawahi
Pata bangi ukiwa unasikiliza sweet reggae au za lucky dube, full shangwe unapata ujumbe mzuri unasikia neno baada ya neno.
Ukimaliza hapo gonga msosi wako wa nguvu na juice baridiiiiii, kausingizi kanono lazima kaje
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu
[emoji116] [emoji116] [emoji116]Wahindi wanasaga bangi na kutengeza Juice
e29d046a9c64058efc1f936d84a9500a.jpg
Sipati picha hii juice jinsi ilivyo na Stimu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Inapatikana wapi hii jamani, au mwenye recipe yake anipe
 
[emoji1] [emoji1] bangi haivutwi na njaa[emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hahahaha bangi mbaya sana.... Sisahau siku nikiwa najarib kutafuta urafiki na bangi.... Weeeee kwanza cha kwanza kuona niliona nimejeuka juu chini nimening'inizwa juu mti...
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu
[emoji116] [emoji116] [emoji116]Wahindi wanasaga bangi na kutengeza Juice
e29d046a9c64058efc1f936d84a9500a.jpg
Sipati picha hii juice jinsi ilivyo na Stimu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Nakumbuka nimewahi kulamba cannabis oil yalikuwa yakitumika kama dawa kwa mgonjwa.

Sasa mm na kiherehere changu nikataka kujuwa ina test vp nika fakamia,ilikuwa ina test kama ina ukakasi fulani ilipo panda kichwani hzo stimu zake sitaki kusimulia.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu
[emoji116] [emoji116] [emoji116]Wahindi wanasaga bangi na kutengeza Juice
e29d046a9c64058efc1f936d84a9500a.jpg
Sipati picha hii juice jinsi ilivyo na Stimu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Bangi ya kuvuta ipo poa kwa kuwa unavuta kwa kiwango unacho hitaji ukiona maji yanazidi unga unatafuta njia ila usiombe watengenezeee chakula ama juisi huwezi kusema basi.
 
Back
Top Bottom