mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Nimeshangaa sana aiseee, bangi ni mbayahahaha unajua siamini uanyoandika hapa !hahaha bas uungane na mdada mmoja humu anaigonga km kawa!mwe haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa sana aiseee, bangi ni mbayahahaha unajua siamini uanyoandika hapa !hahaha bas uungane na mdada mmoja humu anaigonga km kawa!mwe haya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh najijua akili zangu naweza piga watu ovyo ngoja nimsubiri bebe ntavuta
Nani huyo? Mi siiogongi sana lakini. Naweza kaa hata miezi sita sijavuta. Last tym nimevuta ilikua August. Sema ningepata mazingira mazuri mbona ingekua oya oya tu.
Kwenye kupatia usingizi na kunogesha tendo letu pendwa naikubali sanaPata bangi ukiwa unasikiliza sweet reggae au za lucky dube, full shangwe unapata ujumbe mzuri unasikia neno baada ya neno.
Ukimaliza hapo gonga msosi wako wa nguvu na juice baridiiiiii, kausingizi kanono lazima kaje
mimi haiji tokea !acha nijidunge smirnoff tuNimeshangaa sana aiseee, bangi ni mbaya
Oooh! OK fundiHa ha haaa mbona umeshtuka? Ni mboga za majani tu
Ubaya wake upi?Nimeshangaa sana aiseee, bangi ni mbaya
demi kasema anavutaNani huyo? Mi siiogongi sana lakini. Naweza kaa hata miezi sita sijavuta. Last tym nimevuta ilikua August. Sema ningepata mazingira mazuri mbona ingekua oya oya tu.
Demi keshasema. Atakuwepo mwingine tena. Ila kweli kitu hakiwezi kuwa kibaya kama hakijawahi kukufanya vibaya. Ndo mimi na wewe sasa. Siwezi ina ubaya wake kwa kweli. Mara chache nilizovuta nimeenjoy.demi kasema anavuta
Teh..Kwenye kupatia usingizi na kunogesha tendo letu pendwa naikubali sana
Kaka angu anavuta bangi kwa zaidi ya miaka 30 ukiangalia maisha yake sio mazuri na yy mwenyewe anakiri ni sababu ya kuvuta bangiUbaya wake upi?
Bangi ni kama pombe. Sio kila mtu inamkubali. Kuna mtu akinywa pombe anafanya vitu vya ajabu ajabu. Sasa hata bangi pia. Na huyo kama kajua tatizo anaendelea nini si aache.Kaka angu anavuta bangi kwa zaidi ya miaka 30 ukiangalia maisha yake sio mazuri na yy mwenyewe anakiri ni sababu ya kuvuta bangi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu bangi ya kuinywa au kuila inakuwa na stimu kinyama, marekani wana Cookies za bangi.Nakumbuka nimewahi kulamba cannabis oil yalikuwa yakitumika kama dawa kwa mgonjwa.
Sasa mm na kiherehere changu nikataka kujuwa ina test vp nika fakamia,ilikuwa ina test kama ina ukakasi fulani ilipo panda kichwani hzo stimu zake sitaki kusimulia.