Bangi ni mbaya sana

Bangi ni mbaya sana

hii kitu asikwambie mtu kuna jamaa mmoja kule bush kwetu alikuwa ndo mambo yake kula weed miaka nenda miaka rudi, siunajua mambo ya bush hakuna kubugudhiana na serikali wanakuja wagambo na mtendaji wa kijiji jamaa anawakimbia af sasa ifu ndo nitolee
jamaa akahamishia makazi yake poriiiiiii kabisa almost 3km ndo unaanza kuingia kwenye makazi ya watu, kule bush jamaa akajenga nyumba yake haina mlango wala dirisha, baadhi ya watu wakashangaa huyu jamaa nyumba yake vip!!!!!

yote tisa kumi sasa wakati anaezeeka mlango akaweka juu ya paa, na ukumbuke nyumba ya tope yaani miti mixer tope
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tulikaa sehemu na msanii fulani wa bongo flavour. Sasa mimi na rafiki angu bangi tunavuta tukiona basi akatupa tukavuta. Tukatoka hapo tulikua tunacheka njia nzima mpaka tunafika home. Kulala mwenzangu akajamba nilishtuka sikujua kama kajamba nilijua kumetokea shoti ya umeme ndani. Nikamuuliza L umesikia hii sauti iliyolia muda huu? Akajibu sauti gani. Nikamwambia humu ndani kumetokea shot ya umeme. Nikaanza chek kila kitu nimepanic balaa. Akasema kwani umesikia nini? Nikamjibu nimesikia kitu kimelia puuuuuuh. Akasema ni mimi nimejamba.tulicheka masaa mawili.
Haahaaa dah nimejikuta nacheka balaa
 
Back
Top Bottom