Bangi ni mbaya sana

Wale wavutaji wa bangi, Je bangi ilishawahi kukusababishia ufanye kitu gani cha kushangaza/Kuchekesha?

Tunaona wengine huko bangi imewafanya watembee suruari nusu matako,wengine nywele tim tim kama vichaa,bila kusahau wengine wamebaki skeleton kama Daz baba,

Je wewe bangi ilishawahi kukufanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yupo jamaa flan nlisoma nae.. jamaa alivuta pafu moja.. mshkaji alivorudi nyumbani.. zikamtuma kua afanye usafi wa ndani.. akaanza kutoa kitu kimoja kimoja.. akikuta kijiko anakitoa.. alifanya hivyo mpka na magodoro akaacha vitanda tuu coz hakua na spana.. baada ya kumaliza akaamua alale juu ya zile godo nje aote jua la saa nane.. usingizi ukambeba hadi usiku saa mbili mama yake anarudi kutoka kazini... mpk leo mama yake hajui nini kilimtokea!!
 
Siku ya kwanza bila kushawishiwa na mtu yoyote kwa kutumia akili yangu nilienda kununua bangi nikiwa peke yangu nikachukuwa mbili ambazo wamesha zianda nikaenda chini ya mti na keberiti changu nikawasha nikapiga zote mbili nikahisi tofauti fulani hivi dah nikaenda zangu kusoma vitabu vangu dah nikajiona kama ninasoma ninacho kiona live nilikuwa nina soma kitabu cha MIRADHI YA HATARI DAH SITASAHAU HICHI KITABU STORY YAKE MWENYE KUJUWA NITAKIPATA WAP PLS ANIJUZE NITAMPA ATA KAZAWADI!
 
Jamaniiii nmecheka mpk nhc kuumwa ha ha ah aha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha aisee,,bangi sio majani ya mpapai yale,kila mtu avute tu
 
Nimecheka sana kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo siku nasema ipo siku tu mmea utaruhusiwa tuachane na ukiritimba wa kiBabylon.
 
Umeandika na kingeleza kabisa, bangi mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…