Bangi ni mbaya sana

Nadhani ni kwasabu walikula bila kujua, walizidisha dose labda
 
Nadhani ni kwasabu walikula bila kujua, walizidisha dose labda
Yaani unaambiwa zile kashata kiboko, yaani hakuna kinachotupwa kwenye mmea, vyote vinasagwa na kuchanganywa, ukipata 2 tu zinatosha kwa siku, sasa wao sijui walikula ngapi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Magufuli weka grease kidogo, vijana wanaongelea bangi kama vile ni sawa na kutafuta chewing gum.
Mkuu hii haina cha vyuma kukaza wala nn huu ni ukweli usio pingika bangi inafungua brain naomba amin nacho kwambia na ndio maana inazuiliwa
 
Zenji siku hizi kuna kashata za bangi, yaani hadi raha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hizo hazi fungui brain kama ya kuvuta naima ya kuvuta inanguvu zaidi
 
Me natamani Siku moja Nijaribu kuvuta hii kitu nijue inafananaje....
Hakika mkuu hapo ndio utafaidi kazi za brain yako ila pindi ukiivuta ue unaongea maneno haya,,,,bangi nakuvuta nifungue fikra na fahaumu na unipe uwezo wa kuona mbali na unipande kichwani na sio kwingine hakika utaona kilicho fichwa ambacho kwa macho ya kawaida huwezi yaona
 
Dah itabidi Nimwambie hubby asitoke Siku hiyo ili nikianza kuwa kichaa anidhibiti
Na ukiivuta usiwaze hizo fikra we ivute tu kama unavuta sigara alafu kama ukiona inakufungua kichwa saana kunywa maji ya baridi au kula muwa utaipunguza uwezo wake wa kufungua brain
 
Ni kweli kabisa kwamba Uvutaji wa Bangi / Bange huwa ' unawadatisha ' Wavutaji hadi wanafanya mambo ya ajabu kabisa na ya Kustaajabisha ila sijawahi kuona mvutaji yoyote wa hiyo Kitu ' anadata ' halafu anaenda Kunya ( Wazaramo wanasema Kuukweka ) pale Getini Ikulu au Geti la Kuingia Lugalo au katika ngazi za Jengo la Central Police pale Stesheni. Nitashukuru nikijibiwa ni kwanini hao Wavutaji wote pamoja na ' Kudata ' Kwao kote kwa huo Ulaibu / Kilevi huwa wanakuwa na nidhamu na umakini wa hali ya juu katika hayo maeneo nyeti na muhimu niliyoyataja.
 
Na usiivute tena ukiona hivo jua brain yako haiwezi kishindo cha bange bange ikikubali utaona ukishamaliza tu kuivuta bas unakaa kimya utatulia sana na kama ukiwa na bando ingia mtandaon labda insta utaona inavyo kufungua brain
 
Bangi ni kitu Cha kawaida tu.. stimu yake ni kama sigara.. sema ukivuta kete nyingi afu ni siku yako ya Kwanza .. lazima ujione upo juu juu.
Nakataa mkuu bange haitaji uivute ngingi yenyewe ukipiga kisokoto kimoja baas inatosha
 
Selikali hawataki watu wajue mambo ya kidunia na bangi inauwezo wa kukuonesha mambo mengi sana yanayoendelea na yanayokuja hakika bangi naielewa saana sema kuna watu waitumia vibaya wakichanganya na vitu vingine
 
Tayari imesha kuteka mzee, sasa tegemea kuwa na ndoto zisizo tekelezeka maisha yako yote,

Kama kuwaza kwenda america kwa mguu
Hapana mkuu sema hii kitu inaitaji brain ambayo ipo active sana kuna watu wenye brain nzito ndio inawafanya kufikilia hivo
 
Calfonia wame luhusu na majimbo mengi tu state, na nchi nyingi tu Duniani sijui kwann asee
 
Selikali hawataki watu wajue mambo ya kidunia na bangi inauwezo wa kukuonesha mambo mengi sana yanayoendelea na yanayokuja hakika bangi naielewa saana sema kuna watu waitumia vibaya wakichanganya na vitu vingine
Marijuana inaweza vipi kukuonesha mambo ya kidunia?

Kwamba ukitumia herbs ndiyo unajua mambo yanayotukia duniani?

Kama mtazamo wako ni huh basi umepotoka.

Herbs haikufanyi ujuwe mambo

Kufahamu mambo na kuwa mwerevu hiyo ni zao la kujituma na kuwa mdadisi si vinginevyo.
 
Hapana mkuu sema hii kitu inaitaji brain ambayo ipo active sana kuna watu wenye brain nzito ndio inawafanya kufikilia hivo
Kwahiyo wewe brain yako iko suitable na ganja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…