Bangi ni mbaya sana

Bangi ni mbaya sana

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
889
Reaction score
874
Bangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
 
Aisee kumbe umewahi kuvuta bangi hongera sana kumbe Msukuma ana wafuasi wengi
 
Bangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
images

upload_2018-1-23_16-29-12.jpeg

smoke-1216032_960_720-jpg.554438
 
Zenji siku hizi kuna kashata za bangi, yaani hadi raha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hahahahaaaaaaa,,,,,,
 
Nlivuta nikiwa o level huko kwetu Arusha shule ya boarding , nlivutia nyuma ya bweni majira ya jioni. Kengele ya parade ya saa kumi na mbili jioni ikagongwa mm nikaingia Dom nkachukua bible nkaenda nayo assemble. Kufika nikapanda pale mbele nikaanza hubiri.

Nashukuru Mungu mwalimu wa zamu alikua siyo mnoko,walinipeleka wakanifungia Dom ,asbh nkachezea stick kadhaa yakaisha. Sikuwahi vuta hadi leo
 
Nataka hizo..seriously
Ok, siku nikienda nitakuchukulia. Shem wangu mmoja hivi kuna siku alikatisha pande flani, akakuta kashata bila kujua kuwa ndio za bangi akanunua na kuzila akiwa na mwenziwe, [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] umaambiwa walilazwa hospitali siku3 wakiwa hawana fahamu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Nataka hizo..seriously
 
Marijuana is spiritual for me. It's all about connecting to the plant. When I use herbs I use my hands to break it down. When I spliff some I set intentions.....and it's all good.

For those who don't know marijuana has been used in India, Africa and America for centuries.

Don't let the system fool you.

Good for tuberculosis

Good for asthma

Good for the flu

Good for healing the depression.

I think the society should be educated about the many benefits of this plant.

And yes herbs is not for everyone.

For example children, people with history of mental illness, pregnant mothers

Don't use it because the next person use it.

Herbs only for the wise

Big ups all cities and countries that have legalized the plant for medical use and recreational use.
 
Back
Top Bottom