224Nassah
Member
- Nov 15, 2013
- 37
- 2
Wacha weee.... Ntamuona Obama na mkewe eeeh???
Eeeh bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha weee.... Ntamuona Obama na mkewe eeeh???
Mkuu... ndo bangi zimeanza nini???
Huyo atakuwa alipiga na kiroba, havipatani.
Aiseee kumbe haina madhara...let me start 2014 with this kitu. May be maisha yataninyookea
Walioonyookewa wote wanapuliza?
Mawazo yangu tu. ..There's nothing wrong with that
charminglady kale kanchi kaliona thread yako nini kitu kimehalalishwa
Ikikutaaa unakua chizii kwa mwanamke unakua na kibesiiiiii achana nayo
Nshaizoea aisee.... Iko poaaaa!!!
Watu tupo kwenye ndoa zetu na tunavuta bange.
Hujui acha.
Usitutukanie makitu yetu.