Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
Puliza mwaya kwani roho inapenda
mm kwangu nimeona inanizingua ndo maana nimeiridhisha huko
i mis u cousin
nitakucheki baadae kwny kilongalonga!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Puliza mwaya kwani roho inapenda
mm kwangu nimeona inanizingua ndo maana nimeiridhisha huko
i mis u cousin
nitakucheki baadae kwny kilongalonga!!
ninamarafiki wakubwa watatu.........BANGI...POMBE NA SIGARA....NIKAWAULIZA NANI AWE RAFIKI WA DHATI BANGI BILA KUCHELEWA AKANYOOSHA KIDOLE JUU.SIGARA INAUMIZA MAPAFU....POMBE HAINA ADABU...NIKATAFAKARI ADHA YA BANGI SIONI TATIZO.WACHA NIJILIE KING OF FOREST BABYLONE THEY DON'T LIKE IT....I SMOKE IT....EVEN SOMETIME NAPIKA KAMA CHAI,MBOGA SAA NYINGINE NATUMIA HILO JANI KAMA TIBAA
Ina maana mie simisiwi?? ladyfurahia na Passion Lady
Ina maana mie simisiwi?? ladyfurahia na Passion Lady
Mkuu unatumia hiyo kitu!?
Mkuu unatumia hiyo kitu!?
Duh! aisee... hii sakramenti ni balaa unakuta wavutaji wengine wanacheka cheka tu bila hata ya sababu...Hapana mkuu ....
Ila wale jamaa wanaoitwa Rastafarian wanaiita ni sakramenti!
Duh! aisee... hii sakramenti ni balaa unakuta wavutaji wengine wanacheka cheka tu bila hata ya sababu...
Mkuu we acha tu na wanarejea ya kwenye Biblia,ngoja nikikumbuka huo mstari nitakuonesha!
hata mimi nina mzuka nayo balaa
Sasa hivi nimetoka kupiga kitu katika choo cha ofisi, stimu juu...
Wewe Mkuu wa chuo na Eiyer mumeifufulia wapi huu uzi???
hahahaaaaa na hio sura hapo kwe avatar si itakuwa imebadilika