CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
- Thread starter
-
- #121
Watu tupo kwenye ndoa zetu na tunavuta bange.
Hujui acha.
Usitutukanie makitu yetu.
kabanga na wewe unakula msuba??hajui kama kijiti kibaraha yake bila kuangalia umri na mazingira...
atuwache tupumuwe........ Viva :bange: :bange: :bange: :bange: :bange: :bange: :bange: :bange: :bange: :bange:
yaaaa man jah rastafar aaaii!gushi raha weee aaah!bangi nibangue............nipande mlima kilimanjaro bila shat,bangi ya kunuia ni soo inamzara,bangi ya kuvutia chooni madhara yake utateseka na arufu...bangi ya kuvuta kwa dhamira ya kufanya kitu ndo zinaweusha watu.na miaka 28 navuta blazee sijapata madhara yoyote zaini ya watu kuniita peace man au airee
yaaaa man jah rastafar aaaii!gushi raha weee aaah!
yaaaa man jah rastafar aaaii!gushi raha weee aaah!
roll it, puf it, pass to another.....long live
binamu yako umemwona huko juu ameshalamba bang sasa anatutambia sijui atasema nini kwa daddy watu8 maana amejitwisha godoro na sasa :israel:
cousin kwani ww hupulizi hii kitu?
jaribu siku moja utaipenda!!
oh! now i get a point!Hoyeeee.
Aisee ni tamu sana. Haina hangover, pia haina harufu mbaya kama sigara. I dont know about others but mie nikipiga hii makitu nikiwa bwax inakata naanza upya. Umenikumbusha mbali.
Ngoja nikurudi Dar nitaangalia kammea kangu ka bange bado kapo ama baba toto amekabamba.
oh! now i get a point!
my queen miss neddy should now look for another way out, is Eiyer aware of this?
bcc OLESAIDIMU's
hiyo kitu daddy watu8 alituachia nami nimemrithisha charminglady
si unajua mtindo wa familia yetu ni kurithishana?
mi nitapuliza daima milele
simrithishi mtu ng'oo,nikose burudani akuuu!!