ishazoea.....
Note; kwa wanaume inapunguza matamanio tofauti na gambe
Tena kubwa hasaHili zito hili! mamaafacebook
Au ndio huu mkuu, nimeona mtu kauweka kule International forum...
Ezekiel 34:29 Nami nitawainulia miche iwe sifa njema, wala hawataangamizwa kwa njaa katika nchi yao tena, wala hawatachukua tena aibu ya makafiri.
Halafu pia nilishawahi kuona humu humu ndani eti wanadai Musa alikuwa anavuta Cannabis kule mlima Sinai, ule moshi wana wa Israel waliokuwa wakiuona kule mlimani ni wa Bangi...