CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
- Thread starter
- #61
We msichana weeee, bangi waijua vizuri au???????
Siijui kabisaaa... Ndo nataka niijue!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We msichana weeee, bangi waijua vizuri au???????
mmmmmmh
Ni nzuri tu coz itakufanya ufike marekani kwa mguu
Dada go for it, ganja ni nzuri.
Siijui kabisaaa... Ndo nataka niijue!!
mimi nakushauri uhamie kingston jamaica! kule ndiko kuna free and fair selection.
but kama ni bongo, mi ntakuwa wa kwanza kuripoti abuse kwa invisible! teh!
Hivi kwenda kule mpaka uwe na VISA???
Makala ya KTN niliyoitaja inamnukuu daktari wa magonjwa ya akili, Dk. Lukoye Atwoli akisema utafiti unaonyesha kuwa bangi haitengenezi ‘utegemevu' (addiction), tofauti na sigara, pombe, na dawa nyingine haramu.Uzoefu wa Dk. Lukoye umethibitisha kuwa dhana kwamba bangi husababisha matatizo ya akili si sahihi na wagonjwa wengi waliofikishwa kwake wakidaiwa kuathirika na bangi walikuwa na maradhi ya akili muda mrefu, kabla ya kuanza kutumia bangi.
ligalaziHabari ya long weekeend wadau...
Naulisa hiviiii.... Bangi ina madhara gani? I wish siku moja niijaribu walau pafu kadhaa. Pia nasikia haiumizi mapafu kama sigara....
Asante kwa mchango wako....
Bangi hoyeee....... :bange: :bange:
Tukirudi katika makala ya KTN, Abiy Yenesew, Profesa wa Kemia wa Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) anasema bangi ni mmea wenye aina 500 za kemikali zinazoweza kutibu maradhi kadhaa, hivyo basi kupigwa marufuku moja kwa moja sio sahihi.
Anasema kemikali moja tu, inayoitwa Tetrahydrocannabinol, ndiyo inayodhaniwa kuwa na madhara, ingawa pia si kwa ushahidi madhubuti wa kisayansi.
C.C. Karucee, sakapal
raha sana najiona nipo ukumbini shakira anapafom live!
Mamie wacha niipe roho kitu inapenda!!!
TAKE IT EASY...EASY SKANKE CHARMINGGLADY....usivute yingi