Uchaguzi 2020 Bango la Magufuli limenishangaza sana

hivi mkuu unatania au ni kwel kabisa kayasema na kuyatenda haya?!!!!!

na kama ni kwel mkuu hivi kuna mtu atakayempa kura mtu aina hii kwel hata kama ni mwanaccm?!! ili nini hasa?
 
Ndege za private za kukodi Tanzania mbona ziko kibao kwa nini akodi Kenya aache za watanzania ambazo ziko kibao
kwa hiyo mpaka leo hujui kwa nini watu wema waling'ang'ana lissu akatibiwe nairobi badala ya daslam? hujui kwa nini mwanaccm mwenzio aligharamia mamilion ili mtu mwema Lissu akatibiwe nje ya nchi na si ndan ya nchi?
kumbuka dikteta hanaga fomula; kuna siku hata wewe anaweza kukugeuka na akakubanika vilevile?
 
hivi mkuu unatania au ni kwel kabisa kayasema na kuyatenda haya?!!!!!

na kama ni kwel mkuu hivi kuna mtu atakayempa kura mtu aina hii kwel hata kama ni mwanaccm?!! ili nini hasa?
Kuna watu wamevaa miwani ya mbao na kuweka pamba masikioni. Hawasikii wala kuona mbele ya JPM
 
Yaani una ndugu malofa kweli kweli.
Alafu usikute huna hata msaada unaowapa
 
Namimi nimeliona shinyanga nikashangaaa sana
Nami nililiona huko. Ina maana halipo sehemu nyingine?
Nilipolisoma, nami nikawaza hizo sifa zipo kinyume. Lakini baada ya kusoma uzi huu, aaaaaaaa, kuna watu wanajua KUDADAVUA! Hata wale WATETEZI siwaoni KUSHAMBULIA JUKWAA, kwani jamaa kaandika ukweli tupu.
 
kihistoria hakuna dikteta popote duniani amepata kuwa mnyenyekevu.

sifa zao wote zinashabihiana
...kuteka
....mauaji
....visasi
....dharau
.....kupenda kusifiwa yeye tuu
....kukataa ushauri
....kujiamini kupita kiasi
....
 
Mh Rais anatisha aisee ile siku anacheza singeli Singida alivyonyanyukaa tuu high table wotee mbiooo naoo wakanyanyukaa kwa spidi ya umeme na kucheza nae.

Nikasema duhh hii shughuli pevuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwa mfano Polepole, wakati naye anacheza hy singeli macho yake kayaelekeza kwa Magu...kisha Magu alivyokatisha tu kucheza na wenyewe wote meza kuu hapohapo wakaketi vitini ingawa singeli iliendelea kuimbwa

wanafki wakubwa
 
Duuh...aisee Mkuu kwa huo ushahidi na kwa namna ulivyojenga hoja zako, kupinga andiko lako kunahitaji utafiti wa muda mrefu sn.
Mkuu, hata Bashiru na Polepole na bila kumsahau kada P. Mayalla wakilisoma bandiko hili, hawana utetezi kabisa!
 
Mkuu huyo si kiongozi kiongozi hawi hivi. Pia ni mwizi na fisadi.

Ingekua ni enzi zile, ungeongeza na haya maneno " Pia ni dhalimu! Nduli"" ha ha ha ha! Very very interesting.

All in all, siku ya Magufuli kuondoka madarakani, ndipo atakapogundua sura halisi za wasaidizi wake wengi wanafiki na wachumia tumbo wengi walio mzunguka.
 
Atakuwa amemaliza yake haina shida
Ila kusema kweli ni kwavile tu hakuna mbadala ila dingi anazingua kinoma

Njaa kali mtaani
 

Kwa kifupi tu ni hivi: MAGUFULI ANA ELEMENTS ZOTE ZA DIKTETA hivo KATU HAWEZI KUWA MNYENYEKEVU...!!!
Nashauri kama Kuna hilo Bango basi lifyekelewe mvali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…