Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Mkuu, ungeeleza na wewe unachokijua, kukikanusha hiki kilichoandikwa.Mtoa mada hujielewi na kamwe hautajielewa. Kama ni mkristo nenda katubu makanisani na kama ni muislamu nenda kafanye toba inayostahili. Kizazi hiki mmejazwa ujinga vichwani mwenu kiasi hata kureason hutaki kabisa. Ww ni wa kupuuzwa mazima na wanaojielewa. Umekurupuka. Husuda na nia zenu mbaya hazitafanikiwa katika taifa hili linaloongozwa na mtumishi wa Mungu. Kajipangeni upya wafu nyie mnaozikana na wafu wenzenu.