Uchaguzi 2020 Bango la Magufuli limenishangaza sana

Uchaguzi 2020 Bango la Magufuli limenishangaza sana

Mtoa mada hujielewi na kamwe hautajielewa. Kama ni mkristo nenda katubu makanisani na kama ni muislamu nenda kafanye toba inayostahili. Kizazi hiki mmejazwa ujinga vichwani mwenu kiasi hata kureason hutaki kabisa. Ww ni wa kupuuzwa mazima na wanaojielewa. Umekurupuka. Husuda na nia zenu mbaya hazitafanikiwa katika taifa hili linaloongozwa na mtumishi wa Mungu. Kajipangeni upya wafu nyie mnaozikana na wafu wenzenu.
Mkuu, ungeeleza na wewe unachokijua, kukikanusha hiki kilichoandikwa.
 
Back
Top Bottom